Nimeokota mayai ya bundi

Isolated

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2022
Posts
212
Reaction score
363
Habarini wakuu, poleni na mihangaiko.

Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa?

Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute.

Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa jadi. Naomba kuwasilisha!

#Rip Bandari
 
Wanasema ni mazuri kwa chipsi, na ukiyatumia yatakusaidia kuona cha mtema kuni.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Dah, mkuu naomba nikupongeze.

Hiyo habari usimwambie kila mtu, ushatoka kimaisha, maana wewe sio masikini tena. Nakushauri leo usilale hapo kijijini kwenu.

Yapo mangapi? Umekuta yamekaa kwa mpangilio gani?. Je uliyashika kwa mikono yako kabisa au ulitumia kitambaa?
 
kuna mabothi cjui nkuelekeze wanapenda hayo makitu sema wapo dar
 
πŸ˜‚πŸ˜… Aposito noma sana
 
Du Duu yako mawili ,nimeyashika kwa mkono by the way Huwa nalala town hapa ni shambani tu
 
Ukikosea ukaliangusha, likapasuka! Iwe KWA bahati mbaya ama kwa makusudi....

will be the same to your ass at night!

Utajikuta na utelezi asubuhi kunako!!!

Vingine haviokotwi shee! Utakuja Okota hata Mb.oo uje kututangazia hapa! Eti hii Kazi yake nini!?
 
Umejuaje ni ya bundi? Any way mtafute Mshana
 
Y
Ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…