Nimeokota mayai ya bundi

Nimeokota mayai ya bundi

Habarini wakuu, poleni na mihangaiko.

Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa?

Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute.

Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa jadi. Naomba kuwasilisha!

#Rip Bandari
Yale mkuuu.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kaanga yale yanaboost nguvu za kiume mkuu [emoji41][emoji41]
 
Hayo tafuta watu wa machimbon kwenye dhahabu utapiga hela kipind nipo chunya walikuwa wananunua yai moja milion 1 na laki 8 ilikuwa 2019 sijui siku izi imekuwa sh ngapi ila yana hela sn kwenye uchimbaji wa dhahabu
 
Dah, mkuu naomba nikupongeze.

Hiyo habari usimwambie kila mtu, ushatoka kimaisha, maana wewe sio masikini tena. Nakushauri leo usilale hapo kijijini kwenu.

Yapo mangapi? Umekuta yamekaa kwa mpangilio gani?. Je uliyashika kwa mikono yako kabisa au ulitumia kitambaa?
🤣🤣🤣🤣Vijana mmenza fix zenu
 
Habarini wakuu, poleni na mihangaiko.

Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa?

Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute.

Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa jadi. Naomba kuwasilisha!

#Rip Bandari
1691066190470.png

UKIYALA MABICHI, HASAHASA YAKIWA VIZA, UNAONGEZA NGUVU ZA KIUME NA UREFU ...!
NB: UNAWEZAIKWAA BINGO KAMA UKIWAHI NAYO KAMATI YA UFUNDI YA YANGA!
 
Habarini wakuu, poleni na mihangaiko.

Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa?

Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute.

Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa jadi. Naomba kuwasilisha!

#Rip Bandari
umejuaje kama ni mayai ya bundi,?
 
Habarini wakuu, poleni na mihangaiko.

Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa?

Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute.

Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa jadi. Naomba kuwasilisha!

#Rip Bandari
Kuna mtu anapapigwa soon
 
Back
Top Bottom