Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Basi sawaInabidi tumwambie ukweli mapema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawaInabidi tumwambie ukweli mapema
Yale mkuuu.Habarini wakuu, poleni na mihangaiko.
Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa?
Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute.
Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa jadi. Naomba kuwasilisha!
#Rip Bandari
Sema mpwa, jitahidi usiwe unaokota okota vitu njianiBasi sawa
Hata ela nisiokote uncle 🤔🤔Sema mpwa, jitahidi usiwe unaokota okota vitu njiani
50, 100 au 200 zikimbie ukiziona 😅😅Hata ela nisiokote uncle 🤔🤔
Hapo sawa, nimekuelewa ankoli...ila anko ongea na mamods bhana wamrudishe Gily nimemmis ujue😥😥50, 100 au 200 zikimbie ukiziona 😅😅
Hasa 50
🤣🤣🤣🤣Vijana mmenza fix zenuDah, mkuu naomba nikupongeze.
Hiyo habari usimwambie kila mtu, ushatoka kimaisha, maana wewe sio masikini tena. Nakushauri leo usilale hapo kijijini kwenu.
Yapo mangapi? Umekuta yamekaa kwa mpangilio gani?. Je uliyashika kwa mikono yako kabisa au ulitumia kitambaa?
Habarini wakuu, poleni na mihangaiko.
Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa?
Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute.
Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa jadi. Naomba kuwasilisha!
#Rip Bandari
umejuaje kama ni mayai ya bundi,?Habarini wakuu, poleni na mihangaiko.
Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa?
Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute.
Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa jadi. Naomba kuwasilisha!
#Rip Bandari
Kuna mtu anapapigwa soonHabarini wakuu, poleni na mihangaiko.
Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa?
Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute.
Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa jadi. Naomba kuwasilisha!
#Rip Bandari
amejuaje ni mayai ya bundi??Kuna mtu anapapigwa soon