Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama upo Dar,Pelikan pale Germany Embassy watakupa ushauri wa the way forward kuhusiana na coin hiyo, kwa wenzetu wanaojielewa ingekua rahisi maana wana watu wanao deal na vitu kama hivi, reserve bank yetu sidhani unaweza saidiwaWakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Nimeokota sarafu yenye tundu KATIKATI imeandikwa EAST AFRICA & UGANDA PROTECTORATES ( ONE CENT )
SHIDA YANGU JE HII KITU INA THAMANI YOYOTE KWASASA MAANA NILIWAHI SIKIA WATU WANASAKA PESA ZA NAMNA HII.
0629 945 110.
View attachment 2258297View attachment 2258298
una maisha magumu?Ooh, kumbe King George alikuwa mjerumani! Kwa mtindo huu ndiyo maana CCM inaendelea kutawala bila kutegemea kura.
[emoji13][emoji13][emoji13]ndugu, mpaka hapo tuseme ushatoboa, hiyo ni moja wapo ya hazina za mjerumani
mpaka nakuoneona wivu mzee, hapo sio chini ya million 77 unayo
Angalia CBS reality kutunza vitu vya kale ni dili sana hata kama sio leo ila kwa kizazi chako, kuna watu wana nunua artifact kwa pesa nyingi. Kama una redio yako ya zamani usi uze tunza iko siku mtoto wako au mjukuu ata uza kwa hela nyingi sana.Bongo kuna wajinga siku hizi wameingia kwenye mkenge wa kutafuta mia tano za zamani wanaeneza uvumi kwamba ni dili,hii nchi kutapeli watu ni rahisi sana kama kumsukuma mlevi