Nimeokota sarafu yenye tundu katikati ya 1918

Nakumbuka zamani tulikuwa tukiokota tunaambiwa tutupe sababu zinaoshea majipu
 
Kama upo Dar,Pelikan pale Germany Embassy watakupa ushauri wa the way forward kuhusiana na coin hiyo, kwa wenzetu wanaojielewa ingekua rahisi maana wana watu wanao deal na vitu kama hivi, reserve bank yetu sidhani unaweza saidiwa
 
Bongo kuna wajinga siku hizi wameingia kwenye mkenge wa kutafuta mia tano za zamani wanaeneza uvumi kwamba ni dili,hii nchi kutapeli watu ni rahisi sana kama kumsukuma mlevi
 
Bongo kuna wajinga siku hizi wameingia kwenye mkenge wa kutafuta mia tano za zamani wanaeneza uvumi kwamba ni dili,hii nchi kutapeli watu ni rahisi sana kama kumsukuma mlevi
Angalia CBS reality kutunza vitu vya kale ni dili sana hata kama sio leo ila kwa kizazi chako, kuna watu wana nunua artifact kwa pesa nyingi. Kama una redio yako ya zamani usi uze tunza iko siku mtoto wako au mjukuu ata uza kwa hela nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…