Madame B, huwezi sema waijua bahari isipokuwa umekutana na mkizi. Wamjua weye?
Great thinker, hiyo bafu ya kushare si mbele kuna kamba za katani za kuanikia nguo? Zitundike hapo, utashangaa ni za mwanaume na sio mwanamke. Mwanamke akiangusha haachi angeokota.
Kweli wewe wa Masaki.
Njoo huku Uswazi,
Bafu moja zaidi ya Familia 6 zinatumia bafu hilohilo.
Unajua kuna watu wa ajabu sana dunia hii.
Anadhani yeye peke yake ndo ana uchungu na nchi yake, wakati hata mie mwana CCM nina uchungu na hii kasi ya Chama Kile cha kombati. Sasa kila mtu akiyapa airtime machungu yake si kitakuwa hakifanyiki kitu?
Afu anajiita Baharia,
Baharia atakuwa yeye??
Mabaharia wa kike tupo huku tumetulia kimya,kama hatupo.
Duh hiyo ni noumer...kwa kweli sijawahi pitia hiyo life style
Ndo mana nakwambia wewe wa Masaki!
huyu naye wa wapi?? katokea kona ipi ya jamvi jamani??We nimpuuz.taifa linaangamia wewe unaokota ngungul mpeleke demu wako.naukome kuleta habar za udaku humu nyvma yako
Hahahaa yatakuwa yamemuingia naona kaamua kujitosa mwenyewe baharini kabla hatujafanya hivyo.
life yangu ya kawaida wala sina status kubwa hivyo...labda siku nije kukutembelea Madame B huko ulipo nijionee vile maisha yalivyo kimkandamkanda
huyu naye wa wapi?? katokea kona ipi ya jamvi jamani??
Nimejaribu kuongea jinsi aina ya maisha.
Na hyo staili sana sana ipo ktk nyumba za kupanga,japo siishi huko.
Huku kwetu kila mtu na Bafu lake.
huyu naye wa wapi?? katokea kona ipi ya jamvi jamani??
Katoswa kutoka meli ya Wagiriki...mtandao wake haukamati tena tokea jana haushiki vizuri...Wagiriki wakaona isiwe tabu
kama we ni me mpelekee manzi wako,kama we ni ke vaa,lakin sometime unaweza kuokota mapepo!
zirudishe huko huko bafuni...ila hapa najiuliza wewe Bajabiri ni me au ke?,
kama ni me hilo bafu huwa mnatumia na ke?
loh kama ni hivyo nahisi huwa mnaokota vingi zaidi ya shanga