Nimejaribu kufukunyua GOOGLE nikapata kumjua huyu mtu japo kidogo.
Baraka D. Ninarwo inaonekana ni mwenyeji wa mkoa wa Iringa na kasomea huko.
O-level: Tumaini sec 2009
A-level: Ikizu sec 2012
Teaching: Klerruu college 2014
Jkt: Burombora-kigoma 2015.
Asante mkuu kwa taarifa. Ungeongezea details kidogo labda ni vyeti vya namna gani,uliviokota wapi etc etc.
Kaka asante sana... Mungu akubariki ni vyeti vyangu ila akili imeniruka sana.... NivumilieZa jioni ! Kuna mtu kaokota vyeti vya shule na chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake NILIIPATA HII MSG IKITUSIHI TUWATANGAZIE ILI TUMSAIDIE JAPO SIJAOKOTA MIMI
Kaka asante sana... Mungu akubariki ni vyeti vyangu ila akili imeniruka sana.... Nivumilie
Nenda kwanza Mirembe wakaiweke sawa ndo ukapokee vyeti vyako.
Ferre.g piga hiyo no