Nimeokota vyeti vya Baraka D Ninarwo, anayemfahamu Tuwasiliane

Nimeokota vyeti vya Baraka D Ninarwo, anayemfahamu Tuwasiliane

Kaka asante sana... Mungu akubariki ni vyeti vyangu ila akili imeniruka sana.... Nivumilie

Pole sana sijui ni huyu alikuwa bosi wangu nahisi pressure zitakuwa zilimpanda mara dufu.
 
Hongera sana..pia peleka taarifa polisi na kuviacha hapo maana waweza pata matatizo endapo kama kuna mahali kuliibiwa mali na wezi wakavitupa au kudondoka bila wao kujua wakati wanakimbia.
 
Za jioni ! Kuna mtu kaokota vyeti vya shule na chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake
ubarikiwe sana
 
Ubarikiwe ndg kwa ukarimu,haya ndio matumiz mazur ya mitandao ya kijamii.
 
Kuna mtu kaokota vyeti vya shule na chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake
Tumaini na ikizu sec. Na butimba ttc.
 
Kuna mtu kaokota vyeti vya shule na chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake
Tumaini na ikizu sec. Na butimba ttc.
 
Kuna mtu kaokota vyeti vya Shule na Chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie Simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake.
Tumaini na Ikizu sec. na Butimba TTC.

Nimetuma kama nilivyotumiwa.
 
Kama mnaweza post magrup zingine

Kuna mtu kaokota vyeti vya shule na chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake
Tumaini na ikizu sec. Na butimba ttc.
nimetuma kama nilivyotumiwa

umetumiwa na umeamini hadi ukaleta hapa. Akili fupi.
 
Back
Top Bottom