Napiga kk hupokei
Kaka asante sana... Mungu akubariki ni vyeti vyangu ila akili imeniruka sana.... Nivumilie
hongera sana mkuu kwa uaminifu. Tanzania inahitaji watu wenye moyo kama wa kwako.
Uaminifu?,angeokota hela unadhani angesema?
ubarikiwe sanaZa jioni ! Kuna mtu kaokota vyeti vya shule na chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake
Kama mnaweza post magrup zingine
Kuna mtu kaokota vyeti vya shule na chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake
Tumaini na ikizu sec. Na butimba ttc.
nimetuma kama nilivyotumiwa