Nimeolewa ila huyu mkaka mbaya sana

Vya kuhongwa, vitakufikisha pabaya. Umke wa mtu, kwa nini utoe nafasi ya kuhongwa, kwa nini umpe hata muda wakumsikiliza akikuita na kukuambia kuwa hajali vitisho vya mumeo, mpaka akupate?

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
Hapo ni umenisuta nanimesutika basi sina chakusema nimejifunza
 
Reactions: Auz
Dada fikiri kabla ya Kutenda mgeni una uwezo wa kumlisha chakula cha thamani kwa zile siku ambazo atakuwa mgeni tu ,ugeni ikiisha dona na tembele linaendelea kama kawaida, najua umeelewa
 
Ushauri wa maana ndio huu na kuna wengine wamenishauri mambo ambayo hata kiherehere changu kimekata .
Nashukuru kwa ushauri mzuri.
 
Hueleweki hata unazungumzia nini.

Wakuu muwe mnaandaa akili zenu mkitaka kuweka uzi humu maisha yatuumize kichwa mpka thread nazo.
Usiwaze mkuu vyuo na advance ndio zimefunguliwa ko tegemea mengi...
 
Writing skills inakusumbua sana. Kaza buti
 
Kajiuliza mwenyewe na kajijibu mwenyewe nyambafu .........unataka tuumize kichwa kukuretea mwalimu wa la pili b aje kufundisha kutunga sentensi
 
Sawa bhana ila poa nawewe ukipata shida nakupa makubwa hujawahi simuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…