Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Unatakiwa umwambie mmeo hali halis ukimuomba kutoka hapo kwa mda,ukakae sehen ingne kwanza huku ukiomba sana,na jibidishe kufanya kaz za kuchosha.
 
Tehee!!! hajui huku ni changamsha genge?? Watu mnajipinda weee mwenyewe yuko pembeni anawachora tu, hii ndo JF
 
-Mmehamia kwenye nyumba yenu miezi miwili iliyopita,
-Mlikohamia ni sehemu ambayo bado haijajengwa sana, nyumba nyingi bado hazijaisha ni masaiti yanayokaliwa na walinzi
-Wewe na mume wako mmeokoka, mnampenda Yesu,
-Kuna kichaa ambae huja mpaka getini kwenu, na "Mr. wako" anasema, 'mwacheni tu ana madhara gani"
Too many dots, very easy kwa "mume wako" ku connect na kujua kuwa ni mkewe kama ni mpitaji wa humu JF. Sidhani kama kuna mwanamke anaweza ku risk ndoa yake kiasi hicho, uwezekano wa hii post kuwa ni "chai" ni zaidi ya asilimia 90%. Plus avatar yako haiendani na status ya "ulokole na kumoenda Yesu"
 
Huyu hana lolote kaamua kutunga kijistory chake, na pia ndo kwanza kajiunga na JF asa naona ndo kaamua kuja kwa mtindo wa kuolewa na kumtaman kichaaa na anajiita mlokolee.
 
Kwa maelezo yako tu,Mzee ashajuwa ni wewe.Sasa anakupigia timing tu.Soon huyo baby wako kichaa hutamwona tena eneo hilo.
Ebu niambie unalowaga?nataka nikusaidie
 
Ungekuwa hujaolewa ningejitolea kukupa huduma kama shida yako niukubwa tu!

Baada ya kusema hayo, mheshimu mumeo!!!!
 

Maandiko yanasema..ikimbieni zinaa,na cyo haikujua inatamanisha ilijua na ndio maana ikasema ikimbie...
 
sio kwamba watazaa albert einstein wa dunia ya leo
 
Dada tafuta mbinu za kisisiri sana ili uje unpe siku moja,hizi kelele unazopigiwa humu hazitakusaidia kitu;jambo la msingi ni kufanya kwa siri na umpe just one time,just another test tu
 
Kwahiyo hapo issue ni PIPE KUBWA TU????
 
Huyu kichaa kwa huku Arusha tunamjua anapenda sana kujichua na hata anatembea akijichua
 
Hiyo avatar yako inanifanya nione haya ni mazungumzo baada ya habari...mlokole indeed...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…