Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Aisee hii kitu sio yakawaida kwa kweli, mke wa mu unakuwa na akili finyu kiwango hiki??? Nadhani nisubiri tu nisioe
 
dada anatafuta mtu wa kumfukunyua hadi kizazi anashindwa tu kujieleza-inaishia kusema sijui kichwa kikubwa mara nyeti kubwa.acha kuzunguka zunguka sema usaidiwe
 
Mkuu..kuwa mke hakufanyi uwe malaika. Mimi ulokole wake ndo unanishangaza coz walokole bana...dah!
sorry kwa kuvamia swali halinihusu
 
Mkuu..kuwa mke hakufanyi uwe malaika. Mimi ulokole wake ndo unanishangaza coz walokole bana...dah!
sorry kwa kuvamia swali halinihusu
Hapana kumsakama kwasababu ya ulokole wake pia sio vizuri maana tukumbuke kuwa still na yeye ni binadamu, anahitaji msaada wa mawazo na maombi ili kujiimarisha kiimani its not just that simple, tatizo huwa tunawachukulia walokole kama watakatifu wasiotenda dhambi hivi!

Ndio maana shetani anawaandama sana ili kumprove Mungu wrong, so tusiwasimange km ni ushauri apewe na maombi pia.
 
Ni sawa. Lakini amekosea sehemu ya kuomba ushauri. Humu kuna watu wa kila aina..na ninaamini walokole ni wachache ukilinganisha na wasio walokole. Dini pia zipo tofauti humu jf. Amekosea sehemu ya kuomba ushauri...mi nadhani angestick huko huko kwenye ulokole, ushauri atafute huko huko. Kuna watu hata hawajui ulokole ni kitu gani so hawawezi kumshauri vizuri..sana sana atapata negative comments tu ambazo zinazidi kumpeleka kwa shetani.
 
ss huyo mumeo km yuko humu ndani c kashakusanukia ss,,

uwezo wa kuliepuka hilo swala liko mikonon mwako,,acha kumfikiria,acha kumwangalia na ikiwezekana badili njia
 
Naona unataka kumuahibisha na kumvunjia heshime mume wako, hayo ndo matatizo ya watu wanaojifanya wameokoka...
 
Tehe! Tehe! Tehe!!! DUUHH!! Huo Ufunuo Wako Kiboko Mkuu!!!!
 
kweli penzi halichagui. huyo lazima pepo mchafu kakuvaa
 
Umesema kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…