Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Ndoa zina changamoto zake mdogo wangu. Lakini hii ya kumtamani Kichaa kwa sababu ya ukubwa wa dudu lake Ina maana huyu dada akimuona Punda huwa analowa kabisa na kutafuta tambala la deki. Wanaume tuna mitihani sana wandugu.
 
Ah ah ah ah ah uhiii jmn uckate tamaaa
 
Shetan ana mikakati. Omba toba ktk huo mlango ambao shetan amepata upenyo ktk moyo wako halafu mwambie Mungu aingilie kati. Halafu futa huo upendo wa kipepo kwa Damu ya Yesu. Omba Mungu amuondoe huyo kichaa hilo eneo usimuone tena. Ziba( funga)mlango shetan alio utumia. Fungua mlango wa Mungu akupiganie
 
Hii ni hali ya kawaida inayowakuta wanawake wengi. Kusema ule ukweli sii wanaume wote wanawaridhisha wake zao na hili halina kificho maana ni ugonjwa wa Taifa. Jambo lingine nikuolewa na mtu ambaye hakuwa chaguo lako ila kwakuwa ulitaka ndoa basi unakuwa nae. Hathari zakuwa ktk mahusiano ya aina hyo ndio hiki unacho kipata. Mara nyingi mwanamke anaye timiziwa haja yake huwa hana hali kama zako kwa vile hana nyege za mapenz tayar zimemalizwa na mume wake, ila unapo jiona unawaka kama wewe unavyo wakwa kunadalili kubwa humalizii ham ya ham zako kwa mumeo. Jambo lingine ni nguvu za giza inawezekana unamuöa huyo kicha ktk macho ya nyama ila yeye anafanya kaz na mapepo sasa kuruhusu macho yako kuangalia umeshirik uchafu na yanacho fanya ni kukuvaa kwahyo unahatar yakufanya mapenz nauyo kichaa. Itaendelea...
 
Tuambie kwanza ni wapi unakoishi? Kuna uwezekano hii ni STORY YA UONGO. Paukwa.....pakawa.
 
hapo sio pepo wala shetani wala jinni...ni tamaa zako mwenyewe za mwili ndo zinakusukuma ...kamwe hutazitimiza tamaa za mwili...hivyo enenda katika roho....futa kabisa hizo fikra delete kabisa then mpe Mungu nafasi ya kwanza....utashinda tu.....ila kutamaniana kama wanadamu kupo na hakuwez isha maana tuna miili iliyojaa tamaa nyingi......utoe huo mwili sadaka kwa Mungu...fulstop....jifunze kubeba msalaba wangu umfuate Yesu...wanadamu wengi hawana ushauri katika hilo watazid kukuvuruga tu
 
NAPITA NJIA HAYA YAMENIZIDI KIMO
 
Duuh!! Hatari sana
 
Sidhani kama kweli maana halisi ya wokovu unaijua kuokoka ni kukubali kutengwa mbali na dhambi zote lakini pia ukimruhusu Roho mtakatifu atawale maisha yako na kuvitiisha viungo vyako vyote vya mwili chini ya himaya yake.

Inaonekana kiungo chako cha tamaa ya mwili bado hakijatiishwa kumtii Roho mtakatifu.

Hakikisha unaishinda tamaa vinginevyo jehanamu ya moto inakusubiri.
 
Mkuu umenifanya nicheke!!!# sasa atamwombeaje wakati ameshatamani ukuni wake!!! Akipiga goti akafunga macho atawaza kuomba au picha ya huo ukuni aliodai una kichwa kikubwa itamjia!!!?#na atashindwa kufocus.
Inabidi amuombee hivo hivo aokoke kama yeye, ili isiwe tabu kumpa papuch yake, mana keshapenda dushe lake! Ikitokea sasa akampelekea jamaa akang'ang'ania hiyo papuch au atasema kabakwa...teh teh!!
 
Dhambi ya walokole ni UZINZI hawa jamaa hawanywi pombe, hawaendi disco, hawapendi masengenyo lakini kwenye UZiNzI wengi wao wanaangukiaga hapo kama unabisha fatilia utajionea...
 
Dah umeniwahi maana Ile sentensi ya kuokoka Na kumpenda mwokozi halafu tena anasifia maumbile ya Jamaa Ni hatari.

hebu achen unafiki.... mi sijaona dhambi kubwa alioifanya.. hata muanze kumtupia mawe.. ndo maana amepata ujasir wa kuja kuomba msaada humu.. na nina uhakika hata kwenye sala zake atakuwa anamuomba mungu wake amuepushe na haya majaribu.. after all
she is only human .. kama swala ni roho ya kutaman mkumbuke kuwa kiumbe chochote chenyee uhai na kitakachofikwa na umaut huongozwa na tamaa ... hata hao manabii wakubwa wa mungu walitaman kwan mwisho wa siku kuokoka hakumuondolea ubinadam wake ... Adam na hawa binadam wa kwanza walitaman kikubwa ni nn atafanya baada ya kutaman hicho ndo mnawwza mhukumu nacho. hata mungu anajua hilo kuhusu watu wake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…