Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Kupona kwako ni kumueleza mumeo jinsi unavyojisikia atakusaidia kuliko kukaa kimya, mwisho wa hilo jambo ni kuzini na kichaa kwa sababu hapo una deal na akili sio roho
 
Mimi sielewi kwanini mnamuandama huyo dada...?ameelezea hisia zake na mkumbuke naye ni binadamu na huyo kichaa pamoja na matatizo yake ya akili lakini ni binadamu pia,au hamuoni hilo..?mbona kuna vichaa kibao wanawake wamezalizalishwa?au wengine ukipita mabarabarani utawaona wana mimba au watoto vichanga?au hamuoni?labda ishu hapa ni kuwa huyu ni mke wa mtu kwahiyo hapaswi kufanya kama ambavyo hisia zake zinamtaka afanye lakini sio kumtamani chizi.....mwisho wa siku wote ni binadamu na wana hisia hata huyo chizi ana hisia pia!
 
 
moyo taratibu kupenda penda huku utapenda hata na visivyopendeka.
 
Ni pm
 
Naona umeamua kutangaza una nyege za mandingo, usijali utahudumiwa mpaka ukimbie na chupi mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…