Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Yaani wewe ni nishindwa kukupatia jina la ajabu. Ila watakuwa wameshakupasha
 
Umezoea kubanjuliwa na vichaa hata wewe ni kichaa tena ukichaa wako ni mbya sana au zaidi au kuliko huyo unayemuona ni kichaa kwani huna cha huyo Yesu unayemsemea.
Unapepo la ngono wala hakuna cha ulokole feki hapo wala nini....ukichaa wako level yako ni ya PhD na Upropesa uchwara.
 
Umetoa kwenye kitabu cha sigongo hii.. Hongera kwa ubunifu wa kukopy na kupaste.

You have made our Friday though.
 

Harisha tu mkuu. Angalia usinye tu.
 
"Mimi na mr tumeokoka wote na familia tunampenda yesu"

Wanaojita walokole ni wanafki sana na huwa wananikera sana basi tu!!!
 
Ni pm namba yako,nitakusaidia,ucjali bi dada
 
Shetwani ana sura mbili mbya na nzuur naona ww utakuwa kwenye sura mbili pmja na changamoto zte za makaz mapya plus kuchoka kazini plus majukumu ya nyumbani unapta muda wa kumuwza kichaa on top of that umeokoka na unamfuata Yesu tathmini tena hyo ni ibilisi anakunyemrlea na kwa7bu unamjengea mazingira mazur ya njia zke atakutumia hlf aibu atakuiachia ww I have learn still i have alot to learn
 
Ni pepo. Na utakapo zini nae ndipo utakapo pata ujauzito. Tazama nae kichaa atatoweka ghafla. Nawe utazaa mtoto wa ajabu, joka. Siri itaanza kufumuka. Utaijua kweli lkn itakuwa tayari mwili wako umeunganishwa na mapepo kwa njia ya zinaa hiyo. Hapo ndipo maisha yako yatabadilika na kuanza kuwa ya mifarakano na shida.

Kumbuka joka ataendelea kukutesa kwa mwili na akili. Suluhisho, kemea tamaa ya mawazo hayo isitimie.
 
This is spiritual matter. Ni mapepo kwa kuwa umeokoka nenda kwa huyo mtumishi wako u need deliverance yataisha
 
Nimeshuhudia jamaa katoa mahari kumuoa Dada m1, ila jamaa wanapiga na anawambia hajaolewa, sasa tazama huyu kweny ndoa du, ni aibu.
Mpk naogopa kuoa du!!!
 
Njoo PM nikushauri dada...
 
Kulingana na Biblia tayari asha mmanulia kichaa kwani ukimwangalia mtu kwa kumtamani ,umezini naye.Dada yetu huyu,kamtaman kichaa,kumwangalia anapiga masterbation kapata hisia,huenda na yeye huwa ana k.o.j.oa anapomwangalia,na kila siku anaenda kupata bao kwa kichaa.Huyu huenda siyo kichaa kwa maana ya ugonjwa huenda ni jina tuu kama Ndanda Kosovo kichaa.Dada nimeambiwa hata utendaji kazi umeshuka sana sababu ya penzi la kichaaa.Ndoa nayo inakaribia kuvunjikaa.pole sana dada.
 
Kwa hivyo siku hizi ukitaka demu flani mkali au mke wa mtu au mlokole unajidai chizi unachomoa upanga wako katika boxer unaanza kuusuguaa unapiga kelele za mizuka kisha unasubiri a response kwisha kaazi...Eeeh Muumba utusamehe maovu yetu.
 
Chizi maarifa huyo ana akili nzuri tu hapo anaku-seduce bila kujua na wewe umeingia mtegoni. Subiri ufumaniwe unabanduliwa na chizi sijui sura yako utaficha wapi kwa aibu!! kama una watoto watajisikiaje unataka kuihamisha familia yako ktk nyumba yenu kwa aibu utakayoleta.
 
Kumbuka kichaa hua ni mtu mwenye pepo au mapepo,hayo ndo yanakuvuta na yanataka yakudhalilishe ipasavyo,kumhurumia kichaa ni ukichaa pia kwa sababu hujui ukichaa wake ulianzia wapi.
 
Sio pepo ni jini kabisa... katubu dhambi... na pia umuombe sana Mungu akuondolee hiz tamaa
 
Una tatizo kubwa sana la kisikolojia kama la wale pedophilia n.k. nenda kwa dokta wa saikolojia. Usipuuzie mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…