Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Hii ni story ya vichaa na sipendi kucoment story zinazohusu vichaa....

Kwa hiyo naomba nisicomment🙂 🙂
Kaka kabla sijaon komment yako niliwaza hivyo hivyo, mwanamke huyu akili yake kama ya sisimizi. Ila sikulaumu. Na sio wewe tu ni ubinadamu, na hapo kiu yako haitaisha hadi umpe huyo kichaa papuchi
 
Katavi jiulize kwa nini kichaa anaenda kwake kugonga geti?

ukiona manyoya.............
Kwa sababu huyu kichaa akipiga puli mwanamke anasimama na kumwangalia, na kwa nini awe anapiga puli wakati tu wewe ukipita? Inawezekana umeshamsjikisha nyeti zako
 
Mpe tu utamu maana ulokole ulionao haujakusaidia. Umeshindwa kujiombea...umeshindwa kuwajulisha wapendwa wenzio wakuombee...umeshindwa kumjulisha mchungaji wako akuombee....yaani shetani amekuteka tu. Na umekuja kuomba ushauri kwa watu ambao wengine hawajaokoka. Mpe tu mautamu kwani nini banaaa!

Halafu inaonekana hata hujaokoka vizuri, yesu hajakaa moyoni mwako. Inakuaje unakuwa na mawazo ya kingonongono hivyo kama sie tusie okoka....bidada...nenda kaonje hiyo dyudyu kubwa la sivyo utachizika na genye dhidi ya kichaa.

Wanaodai wameokoka wengi tu ni waongo hawana wokovu wowote. Its just a cover.
 
Kaka kabla sijaon komment yako niliwaza hivyo hivyo, mwanamke huyu akili yake kama ya sisimizi. Ila sikulaumu. Na sio wewe tu ni ubinadamu, na hapo kiu yako haitaisha hadi umpe huyo kichaa papuchi


huyo jamaaa hata sio kichaa labda ana tatizo lingine ila kichaa ni mwanamke!
 
unakuwa unamtizama kwa macho yakurembua ndo maana ameshtuka hana muda mrefu atakubaka tena siku ya hatar upate mimba.

najua unataman hiyo size kubwa na baba yoyo ni kibamia! ridhika na cha kwako best maisha haya huwez pata mtu asiye na kasoro mkubali na mpende umuone ndo bora kuliko vichaa wote, wanaume wote. ruudia maneno haya

' ee mwenyezi mungu mwingi wa rehema niikoe mimi mwanao na dhambi hii ya tamaa nipe moyo wakujuta kila nikukoseapo kwakutenda,kufikiri,kutizama, hata ntendavyo bila kujua, tazama Mungu ndoa yangu hii inahitaji busara zangu na uaminifu kama mke, mpe mme waku moyo uliopondeka tuishi vile ikupendezavyo....amina.
 

Kweli hakuna kufahamiana?
Mbona maelezo yako tu nimeshakufahamu?
 
kibamia siyo tatizo .. tatizo ni namna ya kutumia hicho kibamia .. kuna tatizo labda wanafanya kiulokole
Acha masihara sasa mtu ana kidude kama kidole cha mtoto hata friction haitoki. Hahaha wacha dada wa watu amtamani kichaa hakuna jinsi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naona huyu Dada ndo kinachoenda kumtokea hicho
 
Huridhishwi na Maumbile ya mumeo ma unapenda mapenzi rafu ila mumeo anakunyenyekea kupita kiasi kwa sababu ya adabu na ustaarabu wa ovyo. Tafuta.......au basi,akili kichwani mwako.
 
Hivi ukishakuwa mke wa mtu unakuwa malaika ghaflaaaa!! Kuokoka sio sababu ya yeye kutokutenda dhambi, she still a human being, na utambue kuwa walomkamata Yesu ndio majaribu yanawaandama hatari maana ndio shetani anawatafuta haswaaaaa, kwahiyo ameomba ushauri km unao mpe na sio kumuona kama mdhambi alokubuhu, no one is perfect aisee.
 
Jaribu kubadili njia ya kupita, na epuka kumweka kwenye mawazo yako huyo kichaa mana kadiri unavyomuwaza ndivo nafsi zenu zinavyozidi kuwasiliana.

Ujue mioyo ya wanadam inawasiliana ukimkumbuka mtu ujue na yeye anakukumbuka Au ukimfikiria mtu na yeye huko aliko anakufikiria wewe.

pili zidisha upendo kwa mume wako
 
Hii thread ni ya kufungulia mwaka[emoji134] [emoji134]

Sasa leo mwambie mumeo wakati wa mahaba ulokoke aweke kando ili uridhike uachane na tamaa zako kwa huyo kichaa.
Yani huyo mumeo asipokomaa tu hapo kichaa atabeba mzigo
 
Acha masihara sasa mtu ana kidude kama kidole cha mtoto hata friction haitoki. Hahaha wacha dada wa watu amtamani kichaa hakuna jinsi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ha hah ahaha mkuu kinamatumizi bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…