KERO Nimeomba clearence certificate polisi, mwezi wa nne sijapewa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

bjhjhj

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
207
Reaction score
398
Nimeomba clearence certificate polisi ni takriban miezi minne mpaka sasa hivi sijapata.Hili jeshi letu itabidi lijitathmini aisee vitu vidogo kama hivi kweli vinachukua miezi kupatikana.
 
Wanataka kitu kidogo
 
Nimeomba clearence certificate polisi ni takriban miezi minne mpaka sasa hivi sijapata.Hili jeshi letu itabidi lijitathmini aisee vitu vidogo kama hivi kweli vinachukua miezi kupatikana.
TZS 20,000/=
 
Fafanua vizuri ili tuelewe changamoto zake.

Wao wanasema tatizo nini
 
Nimeomba clearence certificate polisi ni takriban miezi minne mpaka sasa hivi sijapata.Hili jeshi letu itabidi lijitathmini aisee vitu vidogo kama hivi kweli vinachukua miezi kupatikana.
Shida sio polisi ila shida ni hao walioweka matumizi ya hiyo clearance bila ya kuanda miundo mbinu rahisi ya upatikanaji wake
 
walitaka nilipie 10000 nikalipia wakanipa control number ajabu kila nikitrack nakuta bado
Baada ya kulipia unatakiwa udownload hizo form then uprint na uzipeleke polisi wakuchukue alama za vidole hapo ndiyo taarifa zako zinapekwa makao makuu ya polisi kukuangalia kama upo clean huwa inachukua kama week kama hakuna jam.

je wewe ulifanya hivyo?
 
yaah nilifanya ivo nilipewa na control number nikaambiwa ikiwa tayar nitaiona baada ya kuingiza izo namba
 
Jamaa wamemgomea miezi mitano sababu ya 20k?
Bila kujiongeza hata karne na wanapoteza kabisa hata trace za kwamba uliomba. Mishahara midogo na wanasiasa ndiyo hivyo unadhani wafanyeje wenzako? Unadhani hawapendi kusomesha english medium watoto wao? Hawapendi kuendeza IST??? Siwalaumu kabisa ila ndiyo mtindo wa maisha
 
Back
Top Bottom