KERO Nimeomba clearence certificate polisi, mwezi wa nne sijapewa

KERO Nimeomba clearence certificate polisi, mwezi wa nne sijapewa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
mie mwenyewe sidhan kama niivo coz process ni online.itakua wanaapuuza tu
Bado mifumo yetu haijakaa vizuri sana, kuna siku na siku. Ili kuwa na uhakika ni afadhali ujajibeba ukaenda kabisa mwenyewe. Huwa haichukui muda mrefu hivi
 
Baada ya kulipia unatakiwa udownload hizo form then uprint na uzipeleke polisi wakuchukue alama za vidole hapo ndiyo taarifa zako zinapekwa makao makuu ya polisi kukuangalia kama upo clean huwa inachukua kama week kama hakuna jam.

je wewe ulifanya hivyo?
Mimi nilipata ndani ya wiki 2 baada ya kuchukuwa finger print. Kufuatilia kwa simu utakesha.
 
Back
Top Bottom