Baada ya kulipia unatakiwa udownload hizo form then uprint na uzipeleke polisi wakuchukue alama za vidole hapo ndiyo taarifa zako zinapekwa makao makuu ya polisi kukuangalia kama upo clean huwa inachukua kama week kama hakuna jam.
je wewe ulifanya hivyo?