KERO Responded Nimeomba kuunganishiwa umeme Chanika, TANESCO wananizungusha miezi miwili kupata Control Number

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nimewasilisha maombi ya Umeme TANESCO, Wilaya ya Ilala DSM, Kituo Chanika kutoka mwezi wa 5/2026, Surveyor akaja siku chache baadaye na nikaambiwa nisubiri siku 7 au 14 za kazi tangu alipofika surveyor lakini sasa imepita miezi miwili naambiwa maombi yamekwama Ofisi ya Uhasibu yanasubiri kutolewa Control Number.

Nimepiga simu huduma kwa wateja Namba 180 zaidi ya mara nane jibu ni moja tu "maombi yako yapo uhasibu yanasubiri kutolewa Control No. tunaomba radhi tunasisitiza maombi yako"

===========================================

MAJIBU YA TANESCO HAYA HAPA 👇

​
 
Nimewasilisha maombi ya Umeme TANESCO, Wilaya ya Ilala DSM, Kituo Chanika kutoka mwezi wa 5/2026, Surveyor akaja siku chache baadaye na nikaambiwa nisubiri siku 7 au 14 za kazi tangu alipofika surveyor lakini sasa imepita miezi miwili naambiwa maombi yamekwama Ofisi ya Uhasibu yanasubiri kutolewa Control Number.

Nimepiga simu huduma kwa wateja Namba 180 zaidi ya mara nane jibu ni moja tu "maombi yako yapo uhasibu yanasubiri kutolewa Control No. tunaomba radhi tunasisitiza maombi yako"
TANESCO
 
Habari, ndugu mteja. Asante kwa kuwasiliana nasi.

Pole sana kwa changamoto unayopitia. Tafadhali tutumie namba yako ya maombi ili tuweze kufanya ufuatiliaji na kukupatia msaada zaidi. Unaweza kuituma kupitia inbox yetu au namba yetu ya WhatsApp ya Huduma kwa Wateja: +255 758 346 869.

Asante na pole sana! ^PK
 
Back
Top Bottom