Nimeomba namba ya simu kwa binti akanijibu hana simu

Wengine huuliza hivo aone kama uko serious...ukimkazia anajaa, unabandua ngozi laini...sio kila demu ni mrahisi....wengine mpaka umzibue makofi ndo unamvua chupi
Hahaha... Mzee, mwanamke ameshakujibu hivyo, mzuka wa kuendelea kumbembeleza unatoka wapi?! Lakini kuna watu wana moyo aisee
 
Wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu.
[emoji117]

MaMen tunafanyaje katika hilo suala najua tupo wengi[emoji116]
Ushakula cha mbavu hapo
 
Nunua simu umpe.

Mnunulie iPhone 12 pro max..
 
Back
Top Bottom