Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Bali mendendeleo yanajali aina ya mtu na hadhi yake mbele ya jamii.maendeleo hayana chama
Yaani Rais mhutu tena?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.
Lami imeishia kwenye mpaka wa Ilala na Kisarawe (Dar na Pwani)Makamu wa Rais pia, imejengwa lami imeishia nyumbani kwake Chanika..
Wewe ni muongo sana ,hivi hata unafahamu Bi-takle ni mbunge wa wapi?Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.
Kwamba makamu anakaa mpakani?Lami imeishia kwenye mpaka wa Ilala na Kisarawe (Dar na Pwani)
Kuwa mbunge wa sehemu fulani haimaanishi usiwe na makazi sehemu nyingineWewe ni muongo sana ,hivi hata unafahamu Bi-takle ni mbunge wa wapi?
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Hayo makazi yako wapi?Kuwa mbunge wa sehemu fulani haimaanishi usiwe na makazi sehemu nyingine
Nyumba yake ipo karibu na mpaka wa mikoa hiyo miwiliKwamba makamu anakaa mpakani?
Wasukuma wataendelea kupendelewa hadi lini?Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.
Viongozi wanatakiwa wasipate tabu kama WADANGANYIKA wengine.Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.
Acha ubishi wa kijinga! DPM MH.BITEKO ananyumba Buhongwa jijini Mwanza na akiwa lake zone mara nyingi anaishi Mwanza.
Nampa Big up, hilo ni moja ya wajibu wake kama mbunge.Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.
Hutaruhusu wewe kama nani kama Mfalme wa Tanganyika na Baraza lake wakitaka!!Hilo hatutoruhusu lijirudie tena
Achana na hiyo kenge yanataka uongozi legelege ili yaendelee kupiga.Hutaruhusu wewe kama nani kama Mfalme wa Tanganyika na Baraza lake wakitaka!!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
hayo ni maeneo gani? ni karibu na ule mjengo alijenga Bashite kwa pesa alizopora kwa watu? au wapi hapo?Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.