Nimeona daraja la waya (cable stayed bridge) la SGR Kamata likivunjwa, shida nini?

Sijapita hapo, ila kwa muda mrefu sana waliacha kujenga hicho kipande labda kuna makosa sasa hivi ndio wanarekebisha.
Turkish engineers can't be trusted.
Ma injinia Bora duniani wako ujerumani, sisi tuna chukua uturuki.
Mradi ulikua ukabidhiwe. November 2019, then wakasogeza eti February 2020, then ikawa July 2020 sasa hivi hata wenyewe hawajui.
 
Kwenye mradi mkubwa kama huu kubomoa na kurekebisha baadhi ya maeneo ni jambo la kawaida sana. Hongera kwa kufuatilia maendeleo ya mradi huu unaojengwa kwa kutumia kodi za Watanzania wote.
Hapana. Kilichofanyika pale mpaka kusababisha kubomoa ni engineering failure kubwa sana. Failure za aina hiyo ndio husababisha madhara makubwa kwa binadamu baadaye. Heri wameona mapema.
 
Mkuu, naona unarudia kilichosemwa. Nimekuambia mambo kama hayo kwenye miradi mikubwa ya ujenzi kama huo ni ya kawaida sana. Wataalam wakikagua na kuona kuna hitilafu inayoweza kuleta athari kubwa ni lazima wabomoe na kujenga upya kwa gharama ya contractor. Wewe unaweza kuita 'engineering failure' au chochote, lakini hoja ni hiyo hiyo --- kwamba hitilafu imegundulika na ni lazima irekebishwe -- na hilo sio jambo la ajabu.
 
Turkish engineers can't be trusted.
Ma injinia Bora duniani wako ujerumani, sisi tuna chukua uturuki.
Mradi ulikua ukabidhiwe. November 2019, then wakasogeza eti February 2020, then ikawa July 2020 sasa hivi hata wenyewe hawajui.
Serikali ya Tanzania ina ubavu wa kuwalipa hao wajerumani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Turkish engineers can't be trusted.
Ma injinia Bora duniani wako ujerumani, sisi tuna chukua uturuki.
Mradi ulikua ukabidhiwe. November 2019, then wakasogeza eti February 2020, then ikawa July 2020 sasa hivi hata wenyewe hawajui.
Mkuu Yapi Merkezi wako vizuri. Wameshiriki kujenga hadi Dubai Metro.
 
Pale Kamata kuna daraja la kupitisha treni ya SGR lilikuwa linajengwa (Cable stayed bridge) ambapo ile minara miwili inayoshika waya (cables) ilishakamilika.

Ila cha kushangaza, jana nilipopita pale nimekuta mnara mmoja ukiendelea kuvunjwa, kwa mnaofahamu, nini kinaendelea?
Mkuu kwenye ujenzi hayo yanatokea sana. Mhandisi Msimamizi akiona umejenga tofauti hata kidogo na mchoro lazima akuambie ubomoe. Hivyo usishangae sana ni mambo ya kiufundi mkuu!
 
Basi itabidi wabomoe mradi wote kwasababu ni wa hovyo
 
Kwenye mradi mkubwa kama huu kubomoa na kurekebisha baadhi ya maeneo ni jambo la kawaida sana. Hongera kwa kufuatilia maendeleo ya mradi huu unaojengwa kwa kutumia kodi za Watanzania wote.

Kwani miradi mingine huwa inajengwa kwa kutumia nini. Ujinga mwingine hadi aibu naona mimi yaani mtu mzima unashangili ati unajenga nyumba kwa pesa zako ebo ulitaka ujenge kwa pesa za nani sasa
 
Za mabeberu 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom