Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Corona iliingilia katiHuu mradi tuliambiwa unakamilika mwaka jana na Treni ya kwanza ingefika Moro Nov. 2019. Hadi sasa kila mtu kimya. Mrafi umesha fail kabla haujaanza
Turkish engineers can't be trusted.Sijapita hapo, ila kwa muda mrefu sana waliacha kujenga hicho kipande labda kuna makosa sasa hivi ndio wanarekebisha.
Hapana. Kilichofanyika pale mpaka kusababisha kubomoa ni engineering failure kubwa sana. Failure za aina hiyo ndio husababisha madhara makubwa kwa binadamu baadaye. Heri wameona mapema.Kwenye mradi mkubwa kama huu kubomoa na kurekebisha baadhi ya maeneo ni jambo la kawaida sana. Hongera kwa kufuatilia maendeleo ya mradi huu unaojengwa kwa kutumia kodi za Watanzania wote.
Project manager Hana viwango vya kusimamia mradi, ameleta hasara kubwa pale!
Kwenye ujenzi jambo la kuvunja ni la kawaida'Mjini' Kuna mengi.
Hapana. Kilichofanyika pale mpaka kusababisha kubomoa ni engineering failure kubwa sana. Failure za aina hiyo ndio husababisha madhara makubwa kwa binadamu baadaye. Heri wameona mapema.
Serikali ya Tanzania ina ubavu wa kuwalipa hao wajerumani ?Turkish engineers can't be trusted.
Ma injinia Bora duniani wako ujerumani, sisi tuna chukua uturuki.
Mradi ulikua ukabidhiwe. November 2019, then wakasogeza eti February 2020, then ikawa July 2020 sasa hivi hata wenyewe hawajui.
kwa maneno yako naweza kutabiri kwa 99.9% kuwa wewe ni mtu wa visasi!This project will NEVER work because of the blood and theft money and mistreatment of Tanzanians.
Mkuu Yapi Merkezi wako vizuri. Wameshiriki kujenga hadi Dubai Metro.Turkish engineers can't be trusted.
Ma injinia Bora duniani wako ujerumani, sisi tuna chukua uturuki.
Mradi ulikua ukabidhiwe. November 2019, then wakasogeza eti February 2020, then ikawa July 2020 sasa hivi hata wenyewe hawajui.
Mkuu andika kwa kiswahili tu tutakuelewa vizuri siyo lugha ya mabeberu meupe huiwezi mkuu!!This project will NEVER work because of the blood and theft money and mistreatment of Tanzanians.
Mkuu kwenye ujenzi hayo yanatokea sana. Mhandisi Msimamizi akiona umejenga tofauti hata kidogo na mchoro lazima akuambie ubomoe. Hivyo usishangae sana ni mambo ya kiufundi mkuu!Pale Kamata kuna daraja la kupitisha treni ya SGR lilikuwa linajengwa (Cable stayed bridge) ambapo ile minara miwili inayoshika waya (cables) ilishakamilika.
Ila cha kushangaza, jana nilipopita pale nimekuta mnara mmoja ukiendelea kuvunjwa, kwa mnaofahamu, nini kinaendelea?
Basi itabidi wabomoe mradi wote kwasababu ni wa hovyoMkuu kwenye ujenzi hayo yanatokea sana. Mhandisi Msimamizi akiona umejenga tofauti hata kidogo na mchoro lazima akuambie ubomoe. Hivyo usishangae sana ni mambo ya kiufundi mkuu!
Pakikamilika hapo tutazibwa midomo.Mkuu kwenye ujenzi hayo yanatokea sana. Mhandisi Msimamizi akiona umejenga tofauti hata kidogo na mchoro lazima akuambie ubomoe. Hivyo usishangae sana ni mambo ya kiufundi mkuu!
Kwa mawazo yako! May be!Basi itabidi wabomoe mradi wote kwasababu ni wa hovyo
Kwenye mradi mkubwa kama huu kubomoa na kurekebisha baadhi ya maeneo ni jambo la kawaida sana. Hongera kwa kufuatilia maendeleo ya mradi huu unaojengwa kwa kutumia kodi za Watanzania wote.
Za mabeberu ππππππKwani miradi mingine huwa inajengwa kwa kutumia nini. Ujinga mwingine hadi aibu naona mimi yaani mtu mzima unashangili ati unajenga nyumba kwa pesa zako ebo ulitaka ujenge kwa pesa za nani sasa
Nov 2019 kulikuwa naa corona?
Ni hasara ya mkandarasiHiyo hasara utaifidia wewe?
Dah...huu ndiyo ujinga mkubwa unaotutafuna na kuturudisha nyuma...hasa sisi Waafrika [emoji34]This project will NEVER work because of the blood and theft money and mistreatment of Tanzanians.
Yaani nisimamishe safari kuuliza watu ghafla ghafla tu from nowhere?Ni
Kweli,mleta post Kama alipita hapo na kuona,alishindwaje kuwauliza waliokuwa wanavunja?
Vipi kuhusu delays za mradi?