Nimeona daraja la waya (cable stayed bridge) la SGR Kamata likivunjwa, shida nini?

Nikweli linavunjwa, lilijengwa walipo limaliza tu likapata nyufa sehemu nya kitako baada ya sehemunitakayo pita reli, walikosana sana na msimamizi wa mradi hata injinia aliyesimamia ujenzi hapo alishafukuzwa.
Wakakubaliana waendelee na kazi nyingine hapo wata parudia.
 

Kama kuna mtu ulimuuliza ulipoona wameanza kuujenga, kamuulize huyo huyo!
 
Kwa kumbukumbu zangu za uhakika kabisa, ule mnara wa kushika waya ulishakamilika, ila wameuondoa ule mnara.
 
Ok, Kesho nenda tena eneo lile lile, pale kwenye beam ya kwanza kati ya mbili zinazobeba daraja, ukitokea station kwa juu,simama upande wa Goldstar na uangalie kwa makini tofauti iliyopo ukilinganisha na sehemu nyingine zilizokwisha jengwa.
Halafu ‘beam’ ni horizontal member, ninachozungumzia ni zile ‘cable towers’ ambazo ni vertical components za daraja, ile tower moja ya kushika waya ndio niliona imevunjwa
 
Kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…