Nimeona hii picha nikakumbuka wale jamaa wa OYA

Mimi nimesikitika tu kuona mwanaume anakubali kushikwa na mwanaume mwingine tena kinyongeee anaonekana kujitetea....😂
I'm sure hiyo itakua ni dadlam...🤣
 
Mimi nimesikitika tu kuona mwanaume anakubali kushikwa na mwanaume mwingine tena kinyongeee anaonekana kujitetea....😂
I'm hiyo itakua ni dadlam...🤣
🤣🤣🤣🤣
 
Plan B ya kusepa
Aongeee ongeee had yule aliyemshika akizubaaaa
Anakimbiaaa

Nakumbuka ile michezo ya kukimbizana
 
Nimecheka jinsi alivyo kwidwa hiyo pensi, Lol
😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…