Nimeona korosho ina kichwa kama cha mtu... one maajabu haya

sisi watu wa kusin serikali imetuangusha sana kwny korosho mcm uliopta kwan mpk iv sasa watu wengi bhado hawajalipwa...mbaya zaid wabunge wetu wakitutetea chama fulan knawapga mkwara kwamba knawasubr 2020 kiwakate..loooooh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
🀣🀣🀣
 
Mambo mengine ni uumbaji wa MUNGU siyo sahihi kumshambulia mtu kutokana na uumbaji.kwa hili TUMUOGOPE MUNGU NDUGU ZANGU. Magufuli hakujiumba vile alivyo Bali ameumbwa.Muumbwaji uwezi kuchagua jinsi ya kuumbwa. TUMHESHIMU MUNGU KWA HILI WAKUU. Muwe na siku njema WAKUU.
 
Kama mwenyewe ameshindwa kuheshimu watu kwa rangi zao na kutamka waziwazi anategemea nini?
 
Kama mwenyewe ameshindwa kuheshimu watu kwa rangi zao na kutamka waziwazi anategemea nini?
Mkuu hata mimi ni mmoja wa wanapiga matendo yake maovu. Ila kwenye ishu kama ya uumbaji ni swala la MUNGU. na nimesema Kwa hili TUMUOGOPE NA TUMHESHIMU MUNGU. Maana kama vile kinachokosolewa ni UUMBAJI WA MUNGU
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] koroshow imekasirika hiyo balaa aisee
 
Huyu mbona magu-fool kabisa
 
mimi nimeona vichwa viwili cha meko na kichwa cha chini
 


Hii je?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo sura kama za wale wazee wa maabara katika movie za wrong turn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…