Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wagomvi sana 😃😃😃😃Haya mambo haya ya kusema korosho ni fitina za mabeberu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejikuta nacheka tu wakati nacheki huo mjadala ikaja korosho moja ina kichwa cha mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki nimechekaa
Angalia hiyo korosho hapo katikati ya hizo pillarz[emoji23] za korosho[emoji1313][emoji1313]View attachment 1114626