Nimeona magari yanakuwa na Plate Number Nyeusi, in amaana gani?

Nimeona magari yanakuwa na Plate Number Nyeusi, in amaana gani?

kama hii
20240325_182307.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni hatari sana. Raia taifa ni letu ila hatujui taarifa za vitu ambavyo vinakatiza mitaani mwetu, vipi kama hizi namba zinahatarisha usalama wetu.
 
Ni Hali la mizigo hilo
Kuna gari nimeiona Mwenge haina plate namba!
ni gari kama hiace hivi ila yenyewe haina madirisha, dirisha ni ile mbele kwa dereva tu.

hiyo nayo ni gari za aina gani
 
Back
Top Bottom