Nimeona maono nchi imegawanyika makundi mawili

Nimeona maono nchi imegawanyika makundi mawili

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Kundi la kwanza ni watu wazima na kundi la pili niliona ni watoto, sasa hili la kwanza lilikuwa likiimba oktoba hatutiki nalo lilikuwa limejitenga nafasi na la lile la kwanza,

Hili la kwanza au la watoto lilikuwa kimya, watoto wale nyuso zao walikuwa wanashangaa tu wala hawajui nini kinaendelea.

Kwenye kundi hili la watoto nilipo tizama vizuri niliwaona viongozi akiwemo raisi alikuwa akifanya kampeni kwa watoto ambao hawajui chochote.

TAFSIRI YA NDOTO YANGU NI HII

Kundi la Wananchi Wanaimba “Oktoba Hatutiki”

Maneno haya yanaonekana kama kauli ya kisiasa au ya mapinduzi, ikionesha watu wamechoka na hali ya sasa.

Oktoba inaweza kuwa ishara ya wakati wa mabadiliko — mwezi wa uchaguzi, msimu wa maamuzi, au mwanzo wa harakati mpya.


Ndoto inaonesha mgawanyiko kati ya watu wazima wanaotaka mabadiliko na kundi la watoto waliodanganywa, ikiashiria:

Tofauti ya fikra kati ya watu wanaofikiri kwa undani (watu wazima) na wale wanaoendeshwa tu bila kuelewa (watoto).

Uchambuzi wako binafsi wa jamii – ni nani anayefikiria kweli na nani anafuata mkumbo.
 
Mnazingua maono maono yamekuwa maono sisiemu is there to stay .

Msipochukumua Action mtaendelea kuleta maono
 
Back
Top Bottom