Leo katika bunge, kipindi cha maswali na majibu, nimemuona Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Mjini, Mheshimiwa Steven Byabato akijibu maswali kwa umahiri sana. Anaonekana anajiandaa kabla ya kuingia bungeni, anasoma, na tayari ana uelewa wa wizara.
Anaongea kwa data kutoka kichwani kwa kujua scope of work of the project, geografical location, project value, implementation approach, duration e.t.c.
Naona alivutiwa sana na style ya marehemu John Joseph Magufuli ya kuwasilisha hoja na kujibu maswali. Bado ni kijana mdogo, naona akijibidisha, akaongeza kujituma, uzalendo na uchapa kazi tunaweza mpata Magufuli mwingine. Jaribuni kumfuatilia.