Nimeona Mzee Mpili akirejea kutoka Burundi apewe ulinzi

Nimeona Mzee Mpili akirejea kutoka Burundi apewe ulinzi

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Huyu Mzee wa utopolo kawa maarufu kuliko timu yake nimeona video yake akikatiza mitaa ya Dar huku akizomewa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi wa timu mbili kubwa hapa nchini.

Kutokana na usumbufu anaoupata,na kazi ngumu aliyowafanyia utopolo mechi ya ligi,basi msimtelekeze huyu Mzee apewe ulinzi.

Inasemekana rada yake ilimpoteza akajikuta yuko Burundi badala ya Kigoma
 
Back
Top Bottom