Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Lengo uje ufungue casino we mzee mjanja sanaNajiandaa baada ya kustaafu nijenge jengo kubwa la kuabudia hapa karibu na nyumbani.
Naamini sitatokosa chochote, kwa sababu nitakuwa sina nguvu za kufanya kazi nzito.
Kama mtaniunga mkono, na mkawa mnakuja kuabudia kwenye hili jengo mtakuwa mmenisaidia sana katika kupunguza ukali wa maisha.
Nimeona ni bora niwekeze huku.
Mimi naweza kuja kuwa mhazini wa kanisa/msikiti wako?Najiandaa baada ya kustaafu nijenge jengo kubwa la kuabudia hapa karibu na nyumbani.
Naamini sitatokosa chochote, kwa sababu nitakuwa sina nguvu za kufanya kazi nzito.
Kama mtaniunga mkono, na mkawa mnakuja kuabudia kwenye hili jengo mtakuwa mmenisaidia sana katika kupunguza ukali wa maisha.
Nimeona ni bora niwekeze huku.
Karibu sana, kwa uzoefu wako, huu uwekezaji utaweza kweli kunipatia kilo ya sukari kwa siku?Hongera sana wazo zuri
Tunakuwa tunakemea mapepo tuLengo uje ufungue casino we mzee mjanja sana
Mimi naweza kuja kuwa mhazini wa kanisa/msikiti wako?
Itabidi niingie vijiji vya ndani ndani nitafute vijana watakao faa kunena kwa lughaHakikisha tu unajua kunene kwa lugha mkuu na uangalie uje na brand yakuuza mahindi choma yenye upako ..
Wajinga utawakosa wakuwala sadaka zao
Afadhali umekuja mama mchungaji, wazo ndio hilo, lifanyie kazi tujikwamue kimaisha.Mchagga katika ubora wake
Dunia ina mambo mengi, kulima ni kugumu.Nayo ya kutapeli watu kupitia mgongo wa dini ni taaluma na iheshimiwe!
Ukishindwa kbs kunena kwa lugha ,ww taja majina ya wachezaji wa ulayaa kwa kukoromaaa mbona utakosa pesaaaItabidi niingie vijiji vya ndani ndani nitafute vijana watakao faa kunena kwa lugha
Kumshawishi mtu mpaka akupe sadaka yake na atoe fungu la kumi, si kazi ndogo.Ukishindwa kbs kunena kwa lugha ,ww taja majina ya wachezaji wa ulayaa kwa kukoromaaa mbona utakosa pesaaa
Hata kdg ni mchakatoo mrefu kdgKumshawishi mtu mpaka akupe sadaka yake na atoe fungu la kumi, si kazi ndogo.
Na kipaji cha utapeli mkuu. Most talented conman.Kama una kipaji cha kukemea mapepo na kuona matatizo ya watu kimazingara, unakaribishwa.
Hatari sanaHata kdg ni mchakatoo mrefu kdg