Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Siku ya 10 lakini npo maji ya shingo naona km nimekaa Miezi mi5 aisee[emoji45]
View attachment 2868303

Kazana, short time pleasure offers you with short term happiness but long term endurance awards you with long lasting sense of fulfillment and happiness in your daily life.

Key word- cut off short term pleasure eg sex, masterbution, pornography etc
 
Tarehe 11/01/2024

Ngoja ni dumbukie na mimi huku wakuu naombeni baraka zenu na maombi yenu . Nitaanza kwanza na siku 60 nione kama nitatoboa maana mimi ni muhanga sana na addicted sana wa kuchanua watoto wa watu hovyo yani siwezagi kulala au kuwa na siku nzuri tena mwenye kichwa chepesi bila kuteleza huko nitoe wazungu

Nikimaliza siku 60 kwanza nitarudi hapa tena
 
Kazana, short time pleasure offers you with short term happiness but long term endurance awards you with long lasting sense of fulfillment and happiness in your daily life.

Key word- cut off short term pleasure eg sex, masterbution, pornography etc
Sema nmegundua ukiamua kuingia kwny hii challenge na majaribu yanaongezeka yaan kuna katoto kanansumbua sahv balaa na kanaomba shoo waziwaz najitahd sana kukakwepa lakn sasa[emoji17]
 
All the best mkuu

Uwe unapita kila muda hapa kupeana updates
 
Sema nmegundua ukiamua kuingia kwny hii challenge na majaribu yanaongezeka yaan kuna katoto kanansumbua sahv balaa na kanaomba shoo waziwaz najitahd sana kukakwepa lakn sasa[emoji17]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii lazima iende sambamba na kupunguza mlo kwa speed Kali vinginevyo unaeza hata pata ugonjwa wa moyo
 
Hongera mkuu.

Hakuna lisilowezekana, umeonesha nia, anza safari yako kwa ujasiri na malengo.
 
Sema nmegundua ukiamua kuingia kwny hii challenge na majaribu yanaongezeka yaan kuna katoto kanansumbua sahv balaa na kanaomba shoo waziwaz najitahd sana kukakwepa lakn sasa[emoji17]

Jifunze kutokuwa available to everyone. Hii itakujengea heshima na kupunguza wewe kuwa kama seafoam ( mapovu ya baharini) ambayo hupelekwa uelekeo wowote ule na mawambi.
 
Na hzi mvua za Morogoro na kabaridi daahh ila wacha niendelee kukaza tu...[emoji45]

Jitahidi kufanya haya

1. Soma kitabu ( inspirational & self help books) at least page 5 kila siku.

2. Anza kujifunza Meditation, dakika 15 tu zinatosha kila siku.

3. Uchoshe mwili kwa mazoezi hasa push ups, sit ups, jogging, evening walk etc

4. Usikae na simu kitandani, weka mezani au sehemu nyingine mbali na kitandani ukiwa upo bed idle.

5. Amka saa kumi na moja kila siku, huu ni muda mzuri wa meditation na zoezi then ingia mishe.

6. Usile vyakula mfu, eat live foods ( green vegetable, fruits and grains)

7. Listen music when you feel unmotivated.

Ukifanya hayo yote kwa usahihi, utakuwa mtu mpya mwenye furaha, self discipline & sense of fulfiiment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…