Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 775
- 1,712
Hakuna cheat code mkuu.Oooh!!!
Njia zipi unatumia??
Labda kwasababu nimesha zoea maana ni miezi 7 sasa.
Lakini mwanzo wakati naanza nmedondoka sana
Lakin saiz nimefanikiwa ukifika mwaka ntapumzika for next tasks.
Don't try to control your thoughts but don't let it control you.
Kwa kufanikiwa zaidi na hili tafuta kipaumbele, ambacho kinasimama kama mbadala ili usiwe idle mda mrefu.