Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,507
- 34,689
Pambana mkuu impossible is nothing..Sometimes sh*t is getting so heavy mpaka unataka kuquit 😅.
Ila time hii nimekunywa maji ya bendera by hooks and crooks lazma nitimize 182.
Pambana mkuu impossible is nothing..Sometimes sh*t is getting so heavy mpaka unataka kuquit 😅.
Ila time hii nimekunywa maji ya bendera by hooks and crooks lazma nitimize 182.
Mm mnitoe huku 😂
😂😂upo tayariMm mnitoe huku 😂
180+ days🔥🙌I did it for 7 months ,kama nimeweza kila mtu anaweza zingatia uchaji wa kiroho,mazoezi, aina ya ulaji,majukumu yako ya kila siku kipaumbele chako
Actual nimeweza mkuu tena inaweza kuwa zaidi ya hapo nimepiga roughly tu,ndiyo kuna wakati vishawishi ni vingi ila hili huliwezi kama mtu huna hofu ya Mungu,kuna wakti unawasiliana na jinsia ya kike ushawishi unakua mkubwa lakini unaweza kuzuia kila kitu ni game of mindset tu180+ days🔥🙌
Binafsi nikianza huwa najitenga kabisa na social media zoteActual nimeweza mkuu tena inaweza kuwa zaidi ya hapo nimepiga roughly tu,ndiyo kuna wakati vishawishi ni vingi ila hili huliwezi kama mtu huna hofu ya Mungu,kuna wakti unawasiliana na jinsia ya kike ushawishi unakua mkubwa lakini unaweza kuzuia kila kitu ni game of mindset tu
Unafanya hayo yote na kujishikilia kihivyo hasa kwa lengo gani kubwa mkuu?Actual nimeweza mkuu tena inaweza kuwa zaidi ya hapo nimepiga roughly tu,ndiyo kuna wakati vishawishi ni vingi ila hili huliwezi kama mtu huna hofu ya Mungu,kuna wakti unawasiliana na jinsia ya kike ushawishi unakua mkubwa lakini unaweza kuzuia kila kitu ni game of mindset tu
Its just a lifestyle nimeichagua a man of God and nina 4 kids, guys inawezekana lazima kuwe na msukumo nyuma yakeUnafanya hayo yote na kujishikilia kihivyo hasa kwa lengo gani kubwa mkuu?
Yangu ilikua hasa Spiritual Journey nilipita kipind ambacho kwa akili zangu nilikua sitoboi ikabid nilud kwa mkubwa mwenyeweHow was the experience
Mm bado nataka kuendelea kulomba na nyeto😂😂upo tayari
Kama umeoa!! No fap haikuhusuje ukisex na mke wako nayo inahesabika umevunja hii cycle
Oooh!!!I'ma bout to go 1 year, if abstain is fatal I'll die ridin.