Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Leo 12.01.2024 na mimi najiunga rasmi, dua zenu kuna wakati nilijaribugi nilikua nadindisha ovyo kama kijana aliye balehe kumbe ni mtu mzima, kuna li dada flani hivi limebinuka lilikua limenizoea kukutana nalo tu ile nimedinda likanishika uboo kilichofuata akaharibu challenge, nikaende nikamfukua kumbe na mwenyewe alikua na nyege. So na anza upya
 

Karibu, majaribu yapo yes.

Lakini hii challenge inakufungua kujua jinsi gani una nguvu za kuepa majaribu yaani inakufundisha Self Control & Self Discipline.

Unakumbuka kisa cha Yusuph na Potifa? Yusuph aliweza kushinda hilo jaribu lako akakataa katu katu kufanya ngono na mke wa malkia, hiyo ndio self control & discipline.

Sio kila kinachokuja au kujipitisha mbele yako ni halali yako, la hasha jifunze kujizuia esp sexual urges.

Utaweza hayo kwa kusoma, meditation na physical exercise kila siku.

Binadamu anakitu kinaitwa TRILOGY = MIND, BODY AND SOUL.

Reading rejuvinate your MIND

Meditation rejuvinate your SOUL

Physical exercise rejuvinate your BODY

Fuata hiyo formula, you will be puzzled by results.
 
Nina mwaka mmoja sijawahi onana na mwanamke kimwili nahisi kuwa mwenye nguvu muda wote pia ngozi yangu imekuwa safi na yenye kutoa unyevu fresh pia naweza kukumbuka vitu ata ambavyo nimefanya ndani ya wiki 2 zilizopita ikiwa nilipokuwa napiga nyeto nilikuwa sina kumbuku kumbu kwa kweli ....mi sikufanya kama challenge bali mi nilifanya kama suluhisho la kuacha PUNYETO
 

Hongera sana Mkuu.

Hizo ndio hidden powers binadamu tunazo.
 

I wish maaana nimekua kama teja
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi sites kumbe zinabeba hayo mapepo eh ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…