Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Mpaka kufika hapa nishapiga block wadada wawili ambao walikua wanalazimisha nivunje amri ya hii Challenge yetu.
Kimwili Siku 15 za kwanza zilikua ngumu kuvumilia ila nilishinda.
Kwa sasa napambana kiakili naona bado kuna kitu hakijakaa sawa.
Sitaki kukumbuka kabisa yale mambo ila nashangaa kumbukumbu hazifutiki.
Lengo langu ni Siku 60 ili niingie Honey moon nikiwa mtu mpya.