Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kwa hiyo wife to be hujamgegedazNina zaidi ya mwezi wa 4 Sasa wa No Fap.Mara ya mwisho Kufap ilikua ni tarehe 26 May .
Natarajia kufunga ndoa mwezi huu wa October, hapo ndio itakua mwisho wa No Fap na Mimi.
Inahitaji nidhamu kubwa sanaMwendo mdundo ndio anaanza sasa...
mpaka Tarehe 1 mwezi 1 - 2025 itakua siku 60 ndio siku rasmi naingia honey moon.
Ntajitahidi kaka nimeshajarbu mara nyingi sana, na nimefanya mistake nyingi sana.Inahitaji nidhamu kubwa sana
Wataalam wa Afya wanatuchanganya si walisema Ukifanya sex ndio mwili na ubongo vinafanya kazi vizuri na unakuwa na afya nzuri.Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.
NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani aidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hii challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
Pia soma: Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa
Pamoja kijana tufikishe miezi 6 kila baada ya wiki tu update n changamoto tulizo kutana nazoTwende kazi..
Ila hii kitu inafanya uone Siku haziaendi..
Muda wa kupambana Ndoto sasa naona Siku zinaganda 😁
Miaka ya zamani sana tulipokuwa Seminari, wanawake tulikuwa tukiwaita 'Vipunguza umri'.Hatuwali tena.
Tumegundua kumbe tunajimaliza wenyewe kisha tunakufa mnabaki nyie. Tumezoea kusema aaaaah yule dem nimesha mla lakini kinyume chake sasa sisi wanaume ndo tunakuwa tumeliwa.........
Maana tunapofanya mapenzi mwanamke yeye ana GAIN wakati mwanaume ana LOSE na ndiyo maana babu yangu alikufa mwaka 1981 wakati bibi yupo mpaka leo hii. so what the hell is this!!!!!!?
Ukishafikisha miezi miwili au mitatu ndiyo unatakiwa kuanza kuhesabuTwende Twende twende.
Sasa kazi ya ex ni nini? Si ni hiyo ya kufukia mashimo yanapojitokeza!?Duh kwa hiyo wife to be hujamgegedaz
Tupo pamoja