Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Nataka nifuate nyendo zako mkuuMabadiliko ni makubwa sana kuanzia Maisha yangu ya nje mpaka kiroho, maswala ya tamaa ya mwili kwangu ni kama nimeshinda.
Inshort najisikia vizuri sana kuliko nilivyokua kabla.