Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Mkuu miaka 3 bila nyeto wala sex acha kutudanganya

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Niko focused na mambo yangu kuliko awali

Nimetunza gharama sana na hela siitumii hovyo tofauti na awali ela yangu nilikuwa situmii pekee yangu hii ni faida kwa sisi ambao ndio kwanza tunaanza life la kitaa
Faida kubwa hapa kwako naona ipo ki uchumi zaidi lete faida za kibiolojia [emoji23][emoji23]
 
Faida kubwa hapa kwako naona ipo ki uchumi zaidi lete faida za kibiolojia [emoji23][emoji23]
Kuna watu watakuja kukutajia hizi faida kwangu sizijali faida yenye manufaa kwangu ni uchumi



viwango vya juu vya nishati

ukuaji wa misuli

usingizi bora no stress

Mental strength na umakini

utendaji bora wa kimwili na stamina

kuboreshwa au kuponya upungufu wa uume ( erection dysfunctional)

kuboresha ubora wa manii ( sperm
quality)

Hizi faida utazipata hata ukifanya au usifanye

But naona wanao abstain wanakuwa maradufu
 
Daaaah umenikumbusha mbali sana mm nilikua nafanya kama njia ya kubana matumizi wakati w kutafta maisha. Na ilinipatia majibu sahihi sn. Mpk ss nikikumbuka nachekaga tu.Kwa mwaka nilikua nakula mbususu mara 2 tu.kwa miezi 6 mara 1 tu.
 
Faida kubwa hapa kwako naona ipo ki uchumi zaidi lete faida za kibiolojia [emoji23][emoji23]
Zinaa ni uchafu mkubwa ni jambo hatari ndio maana vitabu vya dini vinakataza vikali na mtu akiendekeza sana mwisho wake ni mbaya.

Kutoka mtaani hapa kuna wenzangu niliwapa mchongo huu wkt naanza wao wakanidharau na kunipa kejeli kibao .Sasa hasara walizo pata nilizoshuhudia ni kama zifuatazo;

1.Kuna mshikaji wangu katika pilikapipilika za uchakataji kampa mimba mpk mwanafunzi ikazoeleka kukimbia mtaa ila sasa wamekaa mezani jamaa anahudumia familia nyingine wakati kipato kidogo.

2.Kuna mwengine kunogewa kulamba asali shetani akampeleka stage mbaya tamaa kachakata mpk shoga akaumwa ugonjwa mbaya sana anakojoa usaha mtupu
nakumbuka wakati ananihadithia jambo lake nikamwambia kwa hisia sana "Wewe unashida gani mademu wote iliyokuwa nao hapa mtaani tena tena ukitaka mechi inapewa muda wowote mpk uvamie shoga " akanijibu alitaka mwenyewe.

3.Kuna mwengine alirudi chuo amekonda sana , akanipa mchongo Ktk harakati za uchakataji kuna mtu kamvamia ambaye ni kicheche halafu akazama mpk uvinza sasa sehemu kubwa ya mawili wake una vipele haswa sehemu ya siri na wiki nzima alikuwa hali vyakula vya kawaida na mate yamemkauka muda wote anatafuta Big G kuyakusanya.

Nb:Vise versa ni faida tupu
 
Kwahiyo huna d3m mkuu
 
Sawa mzee wa sayansi
 
Yaani wanaume bhana kumbe mnajiendekezaga tu
 
Tatizo ile raha haiko fair hata kidogo, raha tupate wote ila imuangamize wakiume peke yake. hapa ni NoFap tu.
Ukioa ukatulia na mmoja wala huangamii tatizo lenu mnataka kuonja onja kila sket ndo mana mnakufa mapema
 
Daah..hii chalenge imekuwa balaa saiz nkienda chooni badala ya mkojo kuanza kutoka ni wazungu ndio wanatangulia na muda mwingi nahisi genye tu na usiku wa kuamkia leo nimejilipua bao heavy nikiwa usingizini hakika hii chalenge inanitesa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…