Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

You go champ ✊🏾
 
Shida na hivi visichana vinashawishi mno

Huwezi kukutana nacho kimepiga mtepesho ukakiacha
 
HERE WE GO

Imekuwa safari ndefu, ngumu yenye vikwazo vya kila aina, nilijaribu mala kadhaa lakin niliishia kuangukia mavumbini, nikapania tena lakin wapi nilijikuta narudi kule nisipopataka,
ATOMIC HABITS
Mimi sio mpenzi wa kusoma soma lakini nilivutiwa na title ya hichi kitabu nikakitafuta baadae kikanifanya nifumue mfumo mzima wa maisha yangu kwanzia kwenye kulala na kuamka, chakula, mavazi, marafiki, ratiba nzima ya siku viburudisho nk.

Bado naendelea ku observ changes
Lakin mambo yamebadilika sanaaa.
 
Niko hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…