Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Pasaka zote mbili hazikujaza watoto mtaani. Nlijaribu kupitia beaches kadhaa Kigamboni na Mbezi hadi Kunduchi. Watoto wengi walikuwa na wazazi wao na walikuwa wanachungwa sana. Hawapati sana nafasi ya kujiachia. Wapo. Chini ya uangalizi.
Hii si nzuri sana mnawafanya watoto wanakuwa wapole sana na hawawezi kashkash na michanganyiko.
Kwenye Eid..... Watoto wamezagaa sana mitaani mpaka muda huu unakuta kundi kubwa la watoto wadogo bila wazazi wao. Beaches zote za bure watoto wamejaa na wanajimwaya mwaya kwa kujiachia mpaka wakati mwingine naogopa maana wakiwa kwenye maji mabinti naona kabisa kama kuna mambo wanatendewa na vijana wakodisha maboya.
Nimekemea mara kadhaa wanahama wanahamia sehemu ya mbali ambako siwezi fika. Wanafanywa kitu hawa mabinti wadogo wakiwa kwenye maboya. Well, inawasaidia kujifunza kupambana na kutegemea akili zao.
Kuna tofauti kubwa sana katika hizi sikukuu. Wanaosherehekea Eid ni wazi wana watoto wengi na wanawapa uhuru mkubwa watoto washerehekee. Wanaosherehekea Pasaka wanawabana sana watoto wao na hawaoneshi kuwa na watoto wengi. Yaani naona wakizidi sana watatu.
Huu ni mtizamo tu masela msijenge chuki.