Nimeona uchi wa mama wa rafiki yangu.

Yaani hii JF ya sasa na ma- great thinkers.

Kiukweli kuwazia hili jambo linakufanya uione kihisia na kuoelekea mlingoti kusimamisha bendera ya chama!

Kikao cha mwezi wa 6 au 7 cha Wanaume,tutakujadili na suala lako.
Piga chini hayo mawazo na hizo fikra.
Hata kama mama yake angekutaka, mkumbuke rafiki yako kipenzi. Tazama urafiki wenu, ukaribu na stori zenu.

Why uteswe na fikra chafu kwa mama wa best yako.
Amini kama ungemuona dada yakeje!!!???
 
K ya mwanamke huwa sio rahisi kuiona kama haujadhamiria....
 
Mwambie mwanae
 
Huwezi pata laana, maana mhusika hajakusudia
 
It could be worse than staying silent.

Au akaji confess police 🫢[emoji23] [emoji600][emoji599]

Ukimsoma vizuri, inawezekana hana uzoefu na sehemu hizo ambazo siku hizi wala sio tena kitu cha kuongelea kama umeokota almasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…