Nimeona video ya Mose Radio nikakumbuka Interview yangu

ni kweli lkn wasanii wa Uganda wana dharau Sana na wana penda fujo hao gudlyf na babuvuka ni watu wa fujo
Kwahiyo inawezekana baadhi ya Ugandans wakawa wanaona ni sawa kilichotokea?
 
Kama alizoea fujo kwa kuwa ni star acha akafanye fujo huko kuzimu
 
Jamaa alikua mzuri Sana kwenye basketball ttzo ulevi na ugomvi kuna ticha alimumbiaga utakufa kwa ugomvi na kweli imetokea, afadhari hata Mose, Weasel ndio balaa nmesoma nao hawa jamaa
Uyu jamaa kumbe waliomtafsria kufa kutokana na maugomvi yake wengi
 
kaua bila kukusudia

anaeza kujitetea alitukanwa akashndwa zuia hasira zake na ushahidi upo
sema ki tz tz jela haepuki sasa sijui huko kwao itakuaje
Provocation haiwezi kuwa sababu ya msingi. Though a presence of malice-aforethought can also hardly be proved.
 
Provocation haiwezi kuwa sababu ya msingi. Though a presence of malice-aforethought can also hardly be proved.
Kwahiyo huyu baunsa anaweza kupata loophole yoyote akapata adhabu ndogo?
 
wale jamaa wa mieleka wa WCW,WWF huwa wanatoa ONYO;
'DONT try this at HOME..'.(sasa nimewaelewa)

zile 'smartphone' na camera za ukumbini vimemponza baunsa.!!

angemtupa nje...na siyo kumtamiza kwenye sakafu
 
Baunsa hakutumia busara unalinda eneo watu wanalewa pombe alafu unamuadhibu mtu aliyelewa.Akafie jela tu
 
Ahahha ila Bujibuji we ni kivuruge
 
Kutukanwa ni sababu ndogo sana, labda ajitetea kuwa jamaa alikuwa threat mke ndani, na bila kumdhibiti angeweza kuleta Madhara kwa wateja ikiwemo kuwaumiza!
Na wala utetezi huu hautamsaidia kwa sababu alichofanya sio kumdhibiti mhalifu bali alichofanya moja kwa moja ni tukio alilokusudia kudhuru!

Bora basi ingekuwa amembeba kutaka kumtoa nje lakini akadondoka kwa bahati mbaya! Lakini jamaa kamuinua juu na kumbamiza sakafuni... huko sio kudhibiti fujo!
 
Hata tz palishatokea msanii alichomwa kisu kwenye ugonvi bar/club akafa simkumbuki vizuri jina
 
Huyu baunsa ni fara sana inabidi akae jela atakama alitukanwa alibidi awe mpole alileta asira za kitoto sana
 
Hyo video sio ya kwel,hapo ni states,sio uganda
 
Hilo nalo ni kweli pengine jamaa aliona hivyo. Ila ndiyo haiwezi kua utetezi wake kama akifikishwa mahakamani


!
!
Kwenye hiyo video huyo jamaa aliamua kuondoka ila huyo baunsa ndio akamfata akamkwida akamsukumia ukutani kabla ya kumuinua juu na kumbwaga chini kwa nguvu. Alikusudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…