FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
[emoji817]Baunsa hakutumia busara unalinda eneo watu wanalewa pombe alafu unamuadhibu mtu aliyelewa.Akafie jela tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji817]Baunsa hakutumia busara unalinda eneo watu wanalewa pombe alafu unamuadhibu mtu aliyelewa.Akafie jela tu
Umezoea kuona video za Mpitimbi huamini kama hapo ni UgandaHyo video sio ya kwel,hapo ni states,sio uganda
Hata hivyo aliamua kuondoka baada ya kuongea, halafu pengine kuondoka kwake ilikua ni baada ya kuona jamaa anakuja.!
!
Kwenye hiyo video huyo jamaa aliamua kuondoka ila huyo baunsa ndio akamfata akamkwida akamsukumia ukutani kabla ya kumuinua juu na kumbwaga chini kwa nguvu. Alikusudia
Sio yeye yule,hzo ni video za youtube marekani...Unamaanisha jamaa kafia Marekani?
Castro alishatoka tayari nilionaga mahojiano yake nadhan na Dullah wa planet bongo, sema tu yupo mbali na media kwasasaMambo ya ugomvi yamesababisha mpaka leo Castro yupo segerea, R. I. P Steve 2K
Asante mkuu kwa upekenyuz wakoMAJINA YA KIBANTU TOKA KABILA LA WANYAKYUSA NA MAANA ZAKE.
1.LUSAKO. - BAHATI
2.LUSAJO. -BARAKA
3.LUGHANO. - UPENDO
4.LUTENGANO.- AMANI
5.LUSEKELO. - FURAHA
6.LUSUBILO. -TUMAINI
7.TUPOKIGWE-TUMEOKOLEWA
8.TUPOKE - TUOKOE
9.MPELI - MUUMBA
10.NTULI - MSAIDIZI
11.NTOLI - MSHINDI
12.MPOKI - MUOKOZI
13.KISSA - HURUMA
14.ULIMBOKA - NIOKOE
15.ANDINDILILE-AMENILINDA
16.ASUMILE - ALIOMBA
17.ANGANILE-AMENIPENDA
18.ATUGANILE - ALITUPENDA
19.ATUFIGWEGE -ASIFIWE
20.ANYISISILE - AMENIJIA
21.AFWILILE. - ALINIFIA
22.AHOBOKIILE - ALINISAMEHE
23.ASAJILE. - AMENIBARIKI
24.ANYOSISYE. AMENIBATIZA
25.ANYELWISYE. MENITAKASA 26.NDIMBUMI.
Nipo UZIMANI
27.NDIMBWELU-NIPO KWENYE NURU
28.ATUPELE - ALITUPA
29.TUMPALE. -TUMSIFU
30.NTUFYE. - MSIFU
31.GWAKISA- MWENYE HURUMA
32.GWAMAKA-MWENYENGUVU
33.GWANDUMI-MALAIKA
34.TUSEKILE-TUMEFURAHI
35.SEKELA -FURAHI
36.IPYANA. - HEKIMA
37.ATUPAKISYE.- ALITUJALI
38.USWEGE. - UNISAMEHE
39.ANDONGWISYE-AMENIONGOZA
40.AMBWENE. - AMENIONA
41.GWALUGANO. MWENYE UPNDO
42.MJE MASO
MUWE MACHO
43.NEGWAKO. - NI WAKO
44.ANDWELE - AMENILETA
45.ANDOBWISYE. AMENIVUSHA
46.TUSAJIGWE. TUMEBARIKIWA
47.LUTUFYO - SIFA
48.AMBILIKIILE. AMENISIKILIZA
49.AMBINDWILE. AMENIBADILI
50.AMBELE. - AMENIPA
51.AMANYISYE. AMENIFUNDISHA
52.AMULIKE. AMENIANGAZA
53.LUMULI - NURU
54.LUBATIKO UTALATIBU
55.SUBILAGA - TUMAINIA
56.ANGETILE. AMENITAZAMA
57.ANDONDILE AMENITAFUTA
58.ANGANILe -ANANIPENDA
59.ANGOLWISYE. AMENINYOSHA
60.ANDOGWISYE-AMENIONGOZA
61.NSAJIGWA - MBARIKIWA
62.NKUNDWE. - MPENDWA.
HAYA NI BAADHI YA MAJINA YA KINYAKYUSA NA MAANA YAKE, YA MAJINA HAYA YAMEBEBA SIFA NA UTUKUFU WA MUNGU,
PENDA MAJINA YA ASILI YAKO .hapa ni kyela
Siangaliagi.Mbona haitishi mkuu
ushawahi ona watu wakichinjwa kama kuku?
Hata Zidane wengi walushangaa kumpiga kichwa Materazzi, mara nyingine uvumilivu huwa unafika kikomoIngetosha tu kumtoa nje, maana jamaa kambeba kama kiroba cha kilo tano!!
Baunsa katumia maguvu mengi akili kiduchu, unagombanaje na mlevi??!!
DuuuMAJINA YA KIBANTU TOKA KABILA LA WANYAKYUSA NA MAANA ZAKE.
1.LUSAKO. - BAHATI
2.LUSAJO. -BARAKA
3.LUGHANO. - UPENDO
4.LUTENGANO.- AMANI
5.LUSEKELO. - FURAHA
6.LUSUBILO. -TUMAINI
7.TUPOKIGWE-TUMEOKOLEWA
8.TUPOKE - TUOKOE
9.MPELI - MUUMBA
10.NTULI - MSAIDIZI
11.NTOLI - MSHINDI
12.MPOKI - MUOKOZI
13.KISSA - HURUMA
14.ULIMBOKA - NIOKOE
15.ANDINDILILE-AMENILINDA
16.ASUMILE - ALIOMBA
17.ANGANILE-AMENIPENDA
18.ATUGANILE - ALITUPENDA
19.ATUFIGWEGE -ASIFIWE
20.ANYISISILE - AMENIJIA
21.AFWILILE. - ALINIFIA
22.AHOBOKIILE - ALINISAMEHE
23.ASAJILE. - AMENIBARIKI
24.ANYOSISYE. AMENIBATIZA
25.ANYELWISYE. MENITAKASA 26.NDIMBUMI.
Nipo UZIMANI
27.NDIMBWELU-NIPO KWENYE NURU
28.ATUPELE - ALITUPA
29.TUMPALE. -TUMSIFU
30.NTUFYE. - MSIFU
31.GWAKISA- MWENYE HURUMA
32.GWAMAKA-MWENYENGUVU
33.GWANDUMI-MALAIKA
34.TUSEKILE-TUMEFURAHI
35.SEKELA -FURAHI
36.IPYANA. - HEKIMA
37.ATUPAKISYE.- ALITUJALI
38.USWEGE. - UNISAMEHE
39.ANDONGWISYE-AMENIONGOZA
40.AMBWENE. - AMENIONA
41.GWALUGANO. MWENYE UPNDO
42.MJE MASO
MUWE MACHO
43.NEGWAKO. - NI WAKO
44.ANDWELE - AMENILETA
45.ANDOBWISYE. AMENIVUSHA
46.TUSAJIGWE. TUMEBARIKIWA
47.LUTUFYO - SIFA
48.AMBILIKIILE. AMENISIKILIZA
49.AMBINDWILE. AMENIBADILI
50.AMBELE. - AMENIPA
51.AMANYISYE. AMENIFUNDISHA
52.AMULIKE. AMENIANGAZA
53.LUMULI - NURU
54.LUBATIKO UTALATIBU
55.SUBILAGA - TUMAINIA
56.ANGETILE. AMENITAZAMA
57.ANDONDILE AMENITAFUTA
58.ANGANILe -ANANIPENDA
59.ANGOLWISYE. AMENINYOSHA
60.ANDOGWISYE-AMENIONGOZA
61.NSAJIGWA - MBARIKIWA
62.NKUNDWE. - MPENDWA.
HAYA NI BAADHI YA MAJINA YA KINYAKYUSA NA MAANA YAKE, YA MAJINA HAYA YAMEBEBA SIFA NA UTUKUFU WA MUNGU,
PENDA MAJINA YA ASILI YAKO .hapa ni kyela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]najuta kuangalia hii clip
Bora umwambieHata Zidane wengi walushangaa kumpiga kichwa Materazzi, mara nyingine uvumilivu huwa unafika kikomo
Hata hivyo aliamua kuondoka baada ya kuongea, halafu pengine kuondoka kwake ilikua ni baada ya kuona jamaa anakuja.
Hivyo ni kama alitaka ionekane kaongea ila hataki ugomvi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siangaliagi.
Hata horror movies na mimi ni mbali mbali
najuta kuangalia hii clip
Wanaume wa darSiangaliagi.
Hata horror movies na mimi ni mbali mbali