Nimeona video ya Mose Radio nikakumbuka Interview yangu

!
!
Kwenye hiyo video huyo jamaa aliamua kuondoka ila huyo baunsa ndio akamfata akamkwida akamsukumia ukutani kabla ya kumuinua juu na kumbwaga chini kwa nguvu. Alikusudia
Hata hivyo aliamua kuondoka baada ya kuongea, halafu pengine kuondoka kwake ilikua ni baada ya kuona jamaa anakuja.

Hivyo ni kama alitaka ionekane kaongea ila hataki ugomvi
 
Mambo ya ugomvi yamesababisha mpaka leo Castro yupo segerea, R. I. P Steve 2K
Castro alishatoka tayari nilionaga mahojiano yake nadhan na Dullah wa planet bongo, sema tu yupo mbali na media kwasasa
 
Hii video ni ya siku nyingi sio tukio la redio japo linafanana hao ni wamarekani
 
Asante mkuu kwa upekenyuz wako
 
Ingetosha tu kumtoa nje, maana jamaa kambeba kama kiroba cha kilo tano!!

Baunsa katumia maguvu mengi akili kiduchu, unagombanaje na mlevi??!!
Hata Zidane wengi walushangaa kumpiga kichwa Materazzi, mara nyingine uvumilivu huwa unafika kikomo
 
Duuu
 
Huyo radio kayataka mwenyewe
Dawa ya wanaojifanya kujua sana
Kisa ustar ndo hyo ukijifanya
mbabe kuna mbabe zaid yako
 
Hata hivyo aliamua kuondoka baada ya kuongea, halafu pengine kuondoka kwake ilikua ni baada ya kuona jamaa anakuja.

Hivyo ni kama alitaka ionekane kaongea ila hataki ugomvi


!
!
Angeweza kumwacha tu ajiondokee
 
Siangaliagi.
Hata horror movies na mimi ni mbali mbali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Embu uendelee kuntuzia inna
Azd kunawir

Next week tuna meeting ya kikaz
Nae
 
Icho kimanyama uzembe nyama nyingi akili kisoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…