Nimeona wakati Trump anaapishwa leo kuwa Rais wa Marekani sikuona akiwa ameshika Biblia. Hii ipoje?

Nimeona wakati Trump anaapishwa leo kuwa Rais wa Marekani sikuona akiwa ameshika Biblia. Hii ipoje?

Mafyangula

Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
75
Reaction score
100
Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 47. Lakini sijamuona akiwa ameshika kitabu chochote kile mfano Biblia.

Lakini mwishoe kasema Mungu nisaidie. Kwa huku bongo viongozi wakiwa wanaapishwa kama Mkristo atapewa Biblia na Muislamu atapewa Msaafu.

Je hii imekaaje kutoka kwenye mataifa mengine?
 
Wana shika
 
Attachments

  • Screenshot_20250120_223514_Instagram.jpg
    Screenshot_20250120_223514_Instagram.jpg
    181.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250120_223558_Instagram.jpg
    Screenshot_20250120_223558_Instagram.jpg
    299.7 KB · Views: 2
Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 47. Lakini sijamuona akiwa ameshika kitabu chochote kile mfano Biblia.

Lakini mwishoe kasema Mungu nisaidie. Kwa huku bongo viongozi wakiwa wanaapishwa kama Mkristo atapewa Biblia na Muislamu atapewa Msaafu.

Je hii imekaaje kutoka kwenye mataifa mengine?
Mungu anadhihirishwa kwa uwepo na biblia au msaafu pekee?
 
Kwa sheria za marekani huwa hawanyooshi biblia juu, bali wananyoosha mkono wa kulia juu na mkono wa kushoto unagusa biblia ambayo hubebwa na Family member au kiongozi. Jd Vance amefanya hivyo.

Trump mke wake alikamata biblia lakini yeye mwenyewe Trump hakuigusa. Sababu sahihi za kutofanya hivyo hazijawekwa bayana, labda hadi yeye mwenyewe azijibie.
 
Mbona malkia wa Trump kafisha uso? Au mie ndiye sijamwona vizuri? Emu nimzoom kwanza, nitarejea baadaye.
 
Back
Top Bottom