Mafyangula
Member
- Jan 16, 2025
- 75
- 100
huku tz kingunge ngombaremwilu alikuwa mmarekani.Yah hata mm nimejiuliza kanyoosha mkono juu tu
Mungu anadhihirishwa kwa uwepo na biblia au msaafu pekee?Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 47. Lakini sijamuona akiwa ameshika kitabu chochote kile mfano Biblia.
Lakini mwishoe kasema Mungu nisaidie. Kwa huku bongo viongozi wakiwa wanaapishwa kama Mkristo atapewa Biblia na Muislamu atapewa Msaafu.
Je hii imekaaje kutoka kwenye mataifa mengine?