Nimeona wivu mtakatifu: GSM Kuchangia 10b wakati kanisani kwetu hakuna muumini wa kuchangia hata Bilioni 1

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Kiukweli suala la mfanyabiashara GSM KUCHANGIA Bilioni 10 KWA ajili ya CCM uchaguzi ambao haina upinzani limenifikirisha sana.

Nimeangalia kanisa ninalosali tunavyostrago kupata kiasi cha kawaida tu ili kukiingiza kwenye kampeni ya kuokoa watu watoke kwenye ulevi wa madawa ya kulevya NK, ukahaba, ujambazi, ufisadi, kulogwa, uchawi, ukosefu wa nguvu za Mungu na ili waende mbinguni na kwenye nchi mpya Yesu akija.

Je Mungu hana Wafanyabiashara MATAJIRI wa KUCHANGIA hizi kazi zake njema?

Je ni lini na sisi watu wa Mungu tutawezeshwa ili tuchangie mabilioni kwenye mambo matakatifu?

Mwaka Jana nilichangia 1M kwenye mambo ya Mungu nikabaki Sina KITU ila matokeo ya ile kazi Hadi Leo asubuhi nimepigiwa simu ya mtu anayetaka kuona Mungu anamsaidia aliko kwama. Yalikuwa ni makubwa sana..

Ni lini na Sisi Mungu atatuwezesha tuanze kutoa sadaka za Bilioni moja ili watu wengi wafikiwe na NGUVU za Mungu?

Najaribu kuwaza tu, ila kiukweli Bwana GSM umenipa Mimi na Mungu wangu challenge kubwa sana.

Ni hilo tu.

Mtumishi Matunduizi
 
GSM = Kikwete = Serikali = CCM
 
Ndani ya wiki moja atakuwa amezirudisha na zaidi kupitia kodi, huyo ni mwenzetu.
 
Mama lenu limenunuliwa rasmi! Limekalia kulaza mimacho tu!
 
Nenda kwenye biblia tafuta maana ya neno 'mtakatifu'.
 
Najaribu kuwaza tu, ila kiukweli Bwana GSM umenipa Mimi na Mungu wangu challenge kubwa sana
Kuna thread kibao humu ziliwahi kumelezea huyu Bw. Said Abuu, ikaenda ikaenda akawa anajiita Said Mohamed Saad, baadae Home Shopping Center na leo GSM. Usikurupuke maisha ni kujipanga, fungua Kanisa ajiri vijana mfanye kazi mtapata mafanikio baada ya muda.
 
Unahisi huyo kapita hizo njia kufanikiwa?
 
Kiukweli suala la mfanyabiashara GSM KUCHANGIA Bilioni 10 KWA ajili ya CCM uchaguzi ambao haina upinzani limenifikirisha sana.

Nimeangalia kanisa ninalosali tunavyostrago kupata kiasi cha kawaida tu ili kukiingiza kwenye kampeni ya kuokoa watu watoke kwenye ulevi wa madawa ya kulevya NK, ukahaba, ujambazi, ufisadi, kulogwa, uchawi, ukosefu wa nguvu za Mungu na ili waende mbinguni na kwenye nchi mpya Yesu akija.

Je Mungu hana Wafanyabiashara MATAJIRI wa KUCHANGIA hizi kazi zake njema?

Je ni lini na sisi watu wa Mungu tutawezeshwa ili tuchangie mabilioni kwenye mambo matakatifu?

Mwaka Jana nilichangia 1M kwenye mambo ya Mungu nikabaki Sina KITU ila matokeo ya ile kazi Hadi Leo asubuhi nimepigiwa simu ya mtu anayetaka kuona Mungu anamsaidia aliko kwama. Yalikuwa ni makubwa sana..

Ni lini na Sisi Mungu atatuwezesha tuanze kutoa sadaka za Bilioni moja ili watu wengi wafikiwe na NGUVU za Mungu?

Najaribu kuwaza tu, ila kiukweli Bwana GSM umenipa Mimi na Mungu wangu challenge kubwa sana.

Ni hilo tu.

MtumishiMatunduiziA
Mambo ya uchumi, ni sayansi na kanuni,
Sio swala la kushinda kanisani kuimba mapambio na kufunga.
 
Kiukweli suala la mfanyabiashara GSM KUCHANGIA Bilioni 10 KWA ajili ya CCM uchaguzi ambao haina upinzani limenifikirisha sana.

Nimeangalia kanisa ninalosali tunavyostrago kupata kiasi cha kawaida tu ili kukiingiza kwenye kampeni ya kuokoa watu watoke kwenye ulevi wa madawa ya kulevya NK, ukahaba, ujambazi, ufisadi, kulogwa, uchawi, ukosefu wa nguvu za Mungu na ili waende mbinguni na kwenye nchi mpya Yesu akija.

Je Mungu hana Wafanyabiashara MATAJIRI wa KUCHANGIA hizi kazi zake njema?

Je ni lini na sisi watu wa Mungu tutawezeshwa ili tuchangie mabilioni kwenye mambo matakatifu?

Mwaka Jana nilichangia 1M kwenye mambo ya Mungu nikabaki Sina KITU ila matokeo ya ile kazi Hadi Leo asubuhi nimepigiwa simu ya mtu anayetaka kuona Mungu anamsaidia aliko kwama. Yalikuwa ni makubwa sana..

Ni lini na Sisi Mungu atatuwezesha tuanze kutoa sadaka za Bilioni moja ili watu wengi wafikiwe na NGUVU za Mungu?

Najaribu kuwaza tu, ila kiukweli Bwana GSM umenipa Mimi na Mungu wangu challenge kubwa sana.

Ni hilo tu.

Mtumishi Matunduizi
mfumo wa tawala zote leo duniani zinawakilisha kiti cha shetani na mkuu wa giza
pesa na utajili upo monitoring na mfumo wa giza
pesa za kula na maisha ya wasistani hayani effect kwenye utawala, ila ukifikia kumiliki bilioni hapo ndio mchezo unaanza ufalme wa giza hauwezi kukubali kirahisi mtu asiye upande wake kumiliki uchumi mkubwa ikiwa hautakuwa upande wao unaweza kupitia changamoto za kutosha ndio maana matajili wakubwa saba lazima na sio ombi wawe upande wa watawala tena watawala wa giza
akitokea rais kama magufuli aliye tangaza waziwazi kumtanguliza Mungu na wananchi kwaza kupenya siku za kuishi ni ngumu lazima siku zako zihesabiwe ,leo raisi wa bukinafaso naye siku zake zina hesabika,hii ndio kanuni inayotawala dunia ,ufame wowote hawawezi kukubali uwe bilionea halafu usiunge mkono ufalme ,
wakati wewe unashaa kupata pesa za kuchangia mambo ya Mungu lakii kumbe serikali imechangia ujenzi wa hema pale kawe na kufanya ufunguzi na 100 % anunga mkono utawala wakati huo gwajiboy kanisa litafutwa kabisa na hana la kufanya
nini kifanyike lazima kizazi cha nuru kiingie kwenye madaraka n kuwa viongozi lakini leo ni program kabisa tunafundishwa ya kaisali mwachie kaisali wewe baki na mmbo ya kusali na kusubili ufalme wa mbingu tena heti kama kutawala utatawala mbinguni na kuwa na makoo mazuri ya dhahabu hapa dunia wewe ni mpitaji ilo ni giza tulofundishwa kila siku
watawala wanamwogopa mtu akiwa bilionea asiye upande wao ,heti leo chifu godlove naye alialikwa kuchangia na kpiga full kijani anajua usipojiunga nayo utaishia gerezani kama lisu ,si kumba lisu kasema jambo ambao wengine hawasemi hapana ni kwamba amekataaa kununuliwa na ilo bila Mungu kumtetea adi 2030 atakuwa jela na hakuna wa kufanya hta wale wanasheria wa utawala waweza kuwa wana lia machozi wakiwa ufichoni kwa maagizo wanayopewa hakuna namna Pilato alishindwa kunfungua yesu na alijua hana hatia alibakia kunawa maji
duniani unaweza kuishi vizuri ukiwa kwenye uchumi wa kati zaidi ya ho unahitaji MUNGU

Yn 11:50​

wala hamfikiri ya kwamba yafaa mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, wala lisiangamie taifa zima.
taifa hapa liliwakilisha ufame warumi,(kaisali)na mamlaka ya wakati huoo

Yohana 19:12​

12 Kwa sababu hiyo, Pilato akaendelea kutafuta njia ya kumfungua, lakini Wayahudi wakasema kwa sauti kubwa: “Ukimfungua mtu huyu, wewe si rafiki ya Kaisari.
 
Makanisa ni projecti ya waislamu mafisadi kuwa pumbaza wakristo na kuwazubaisha wakati wao wakijilimbikiza serikalini na kuunda magenge ya mafisadi
 
Maelezo yanamkuza shetani ALIYESHINDWA kuliko Mungu aliyemuumba na NGUVU ZAKE.
 
Mimi nadhani pesa sio jambo la kiroho, kuna waislamu, wahindi, na wapagani matajiri kama kulivyo na wakristo matajiri.

Wewe kama unampenda Mungu na unamtumikia vilivyo, utaenda mbinguni tu.

Hayo mabilioni unaweza kuyaomba na usiyapate. Wewe mwenyewe ni shahidi umeona wakristo wengi waliomtumikia Mungu kikamilifu wakifa bila utajiri.

Mambo mengine usiulize sana ni kama wanavyosema; "Mipango ya Mungu haichunguziki."
 
Back
Top Bottom